Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu figganigga atajipigia sana mademu wa kibongo maana anavyoripoti utadhani yupo kwenye epicenter ya vita kumbe anatafsiri toka kwenye blogs za pro NATO.
 
Vifaru Viwili vya Urusi aina ya T-72B vikiwa vimeharibiwa na Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Kifaru cha Urusi aina ya 9A39M1(-2) TEL for the 9K37M1 series Buk SAM system
 
Kifaru cha Ukraine aina ya BREM-1 ARV ikinasua kifaru cha Urusi aina ya T-72B kilichikuwa kimekwamakika telekezwa
Your browser is not able to display this video.
 
Askari wa Urusi akiwa mbel ya Kifaru xha Urusi aina ya MT-LB chenya ZU-23-2 23mm autocannon. Hiki kimeharibiwa na Ukraine
 
Askari wa Urusi alikuwa anaishambulia drone ya Ukraine, risasi zilipo muishia ikabidi akimbilie kwa wenzake. Drone ikawa ianmfuata kwa juu. Wote wamelipuliwa
Your browser is not able to display this video.
 
Msafara wa Urusi ulivyo haribiwa kwenye highway ya Magaribi mwa Mji wa Kyiv
Your browser is not able to display this video.
 
Na hii pia ni highway hiyo hiyo hapo juu
Your browser is not able to display this video.
 
Mkoani Kherson: Vifaru vya Urusi vikitetezwa. Wanakimbia ovyo ovyo hawajui wakimbilie wapi
Your browser is not able to display this video.
 
Stugna-P anti-tank guided missile ilivyoangamiza gari lililo beba silaha la Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Kifaru cha Urusi aina ya #Ukraine: A 152mm Msta-S SPG kikiwa Mikononi mwa Ukraine. Kaskazini Mashariki mwa Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72B kilitelekezwa Mkoani Chernihiv. Hakijashambuliwa. Inaonekana walipata ajali wakati wanakimbizwa warudi kwao. Hii Vita Ukraine itashinda
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…