Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

WALI anaendelea kufundisha vijana wa Ukraine Usniper
20220406_052110.jpg
 
Bushmaster za Australia zikiwa tayari zimepakwa rangi ya bendera ya Ukraine. Zinakuja Ukraine hizi. Kwaajili ya kubeba Wanajeshi na vifaa vyao
20220406_052428.jpg
 
Msaada wa Poland kwa Ukraine, wamekataza kusambaza picha zake. Ila ni vifaru vya kisasa kabisa. Juzi kati Biden alikuwa Poland
20220406_053504.png
 
Ilikuwa tuwazunguke. Wanadai wanaenda kupanga mashambulizi Dnipro River. Tunawafuata
20220406_054022.jpg
 
Jana waandamanaji wa Kherson wakiwa sambamba na Wanajeshi wa Urusi wakiwataka watoke nchini mwao warusi Urusi
 
Hii silaha ilyotumika kutoka angani sijaijua. Imekigandamiza kifaru cha Urusi kikazama ardhini. Hiki kifaru ni aina ya T-72B na hapa ni mkoani Chernihiv
 
Jamhuri ya Czech imeamua liwalo na liwe. Imeamua kupeleka vifaru vyake aina ya T-72M1 na BVP-1 IFV Ukraine kama msaada ili Ukraine ijilinde na Wavamizi
 
Tumepoteza Mpiga picha Frontline Mkoani Kherson. Soon tunapata mpya. RIP
 
Hawa Warusi na Vifaru vyao aina ya T-72B3 walikuwa wanajaribu kutoka Izium kwenda Barvinkove wakakutana na moto wa Ukraine
 
Angalia Helkopta ya Urusi aina ya Ka-52 ilivyo angamizwa kwa kutumia Silaha aina ya Stugna-P ATGM kutoka kikosi cha 95th Air Assault Brigade wa Ukraine. Kifaa cha dola laki moja kinaharibu kifaa cha dola $16 Millions. Sio mbaya
 
Angalia Vifaru vya Urusi vilivyo teketea kwenye convoy Mkoani Donetsk
 
Zaidi ya Magari 40 ya Urusi yaliharibiwa na Jeshi la Ukraine kwenye rear base ya Urusi. Tulichelewa kupost sababu tulikuwa tunahakiki. Hii ni ya siku mbili zilizopita
 
Yamehesabiwa baada ya kuungua, ni Magari 35. Yalikuwa ni Magari ya mafuta na Vifaru aina ya BMP/T-72 variant
20220407_014221.jpg
 
Back
Top Bottom