Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalia hapa T-72 variant (inawezekana nineshaipost hapo nyuma ), na R-149AKSh-1 command and signal vehicle.
20220404_212243.jpg
20220404_212240.jpg
20220404_212237.jpg
20220404_212234.jpg
 
Gari la Mizigo, Gari la Mafuta, Kamaz truck with KS-45719-7M crane na R-149MA1 command vehicle.
20220404_212529.jpg
20220404_212527.jpg
20220404_212525.jpg
20220404_212522.jpg
 
Angalia R-149AKSh-1 command and signal vehicle nyingine, command truck, BTR-82A na MT-LBVM. Yote ya Urusi, hayajaharibika sana yanawesa tengenezwa
20220404_212725.jpg
20220404_212723.jpg
20220404_212721.jpg
20220404_212719.jpg
 
Hii ni R-149MA1 command vehicle nyingone, gari la mafuta na BMP-3, na BTR-82A. Vyote vya Urusi
20220404_213001.jpg
20220404_212959.jpg
20220404_212957.jpg
20220404_212954.jpg
 
Hii ilochakazwa MT-LBVM inaweza ikawa ni command truck. Pia kuna BMP-2 (inawezekana nyuma nimeipost), kifaru kilichoteketea ni kifaru aina ya BTR-82A.
20220404_213324.jpg
20220404_213321.jpg
20220404_213319.jpg
20220404_213317.jpg
 
A cargo truck na ex-cargo truck, BTR-82A with turret removal na BTR-82A.

20220404_213825.jpg


20220404_213823.jpg


20220404_213821.jpg


20220404_213818.jpg
 
Huyu Mbwa wa Ukriane ana uwezo wa kunusa mabomu yalotegwa ardhini. Landmines.

Sasa hayupo Kyiv tena, yupo zake Mkoani Chernihiv anategua
 
Mkoani Chernihiv Vifaru vitatu aina ua T-72B3 vimeharibiwa na vingine vimetekwa aina ya BTR-82A APC
20220404_214745.jpg
20220404_214743.jpg
20220404_214741.jpg
20220404_214739.jpg
 
Leo rais wetu Volodymyr Zelenskyy ametembelea Mkoa ambao Urusi wameua sana raia Bucha nje kidogo ya mji wa Kyiv. Watu walikufa sana. Nikipata nafasi nitatuma picha za maiti. Ila huu mji wamezika watu 300 kaburi moja.
20220404_215422.jpg
20220404_215419.jpg
20220404_215416.jpg
 
#Vifaru aina ya BTR-3s hivi ni vya Ukraine, vilitekwa Urusi ila leo wameviacha uanja wa ndege wa Gostomel. Vingine vitatengenezwa.
20220404_215931.jpg
20220404_215928.jpg
20220404_215925.jpg
20220404_215921.jpg
 
Tuko pamoja kiongozi. Ila picha hazifunguki
 
Hii ni Yantar product, inaonyesha mbwembwe ila Kombora moja tu lilitosha kuizima
 
Hivi Vifaru Ujerumani ilitaka kuviteketeza coz havina hazi. Ukraine imeomba kuvinunua vyote na amekubaliwa. Vitaendea moja kwa moja Mariupol. Hivi Vifaru vinafahamika kama Infantry fighting vehicle
20220404_224434.jpg
 
Back
Top Bottom