kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Hahahaaa wakakufaJuzi, hii sehemu tu, Wanajeshi wa Urusi waliokufa ni 30. Hawa waliuliwa na Warusi wenzao. Hawa ni mobilized na hapa ni uwanja wa Mazoezi. Kulitokea kutoelewana, wakatwangana risasi. Walitofautiana kidini. Mabishano ya mambo ya Imani
View attachment 2392288