Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi wanajidanganya kuharibu miundo mbinu ya nishati ya Ukraine, Lakini Ukraine naye ana uwezo wa kupiga na kuharibu miundo mbinu ya nishati ya Urusi katika miji atakayoichagua!
Ukraine alitaka kupiga Moscow kama mfano tu, Washirika wake wakamkataza, wakasema asipige nje ya Mipaka. Hiyo Mikoa ambayo inashambuliwa, ninkwa sababu Urusi wanashambulia kutokea hapo. Hivyo zinapigwa Silaha ili zisishambulie Ukriane kama njia ya kujilinda
 
Wananchi wa Ukraine wakikimbia Nyumba zao sehemu Urusi imeteka, wanawaleta Warusi waishi kwenye hizo nyumba.. Haoa ni Kherson, na hii nyumba walikuwa wanaishi Warusi. Baada ya kupiga kura, wakahamia Kherson wakuamini kushakua kwao. Sasa wanapelekewa moto wanaondoka kurudi walipotoka. Huyu kaacha ujumbe eti "You already live so well, why do you need to be in Europe?". Inahuu?
Your browser is not able to display this video.
 
figganigga wanaokimbia na kujikusanya ni warusi?
Hapana. Warusi hawapo kwenye picha. Hawa ni Frontline wanajaribu kuwapush Warusi. Hiki ni kikosi kizima cha Ukraine kipo hapo. Wanapokezana.. Wakitoka hawa kushambuliwa wanaingia kundi lingine. Hawezi kaa sehemu mmoja. Hao wote wapo na hilo gari. Hapo wanajikusanya waingia kwenye gari wasepe wengine waingie mzigoni. Kuna risasi kuishi, zikikuishia Frontline ni hatari, huyu anayeshangilia yupo backup.
 
Mrusi haji kuja kuvamia tena Ukraine atawaheshimu kama anavyowaheshimu Hungary nadhani alivyoichukua Crimea kirahisi alijua na huku ataokota mimi nawaonea huruma wale Voda faster wa Putin wanauawa bure kwa vita ambayo awataki kupigana ila hakuna jinsi ni maamuzi ya Mhuni mmoja...
 
Rais akishaamua uende vitani unaenda. Hata Vita ya Kagera watu walikuwa mobilized.
 
Taifa kaliingiza kwenye vita na migogoro sababu ya ulevi wa madaraka. Katumia resources nyingi na kupoteza askari wengi for nothing. Ni mwendawazimu tu ndo anaweza kumsifia Putin.
 
Taifa kaliingiza kwenye vita na migogoro sababu ya ulevi wa madaraka. Katumia resources nyingi na kupoteza askari wengi for nothing. Ni mwendawazimu tu ndo anaweza kumsifia Putin.
Hadi ustaarabu wa Dunia umepotea ni ujinga kusifia vita na utoto na kukosa Elimu bora tumetoka kwenye Corona hiyo mambo ya kijinga asingeileta Dunia ingetengemaa kawapoteza vijana bure naona wakitekwa na kuua huko mbaya sana..
 
Haina shida wakifurushwa Nao zamu yao ya kuharibiwa miundo mbinu itafuata. Muhimu sasa hivi waondoke kwenye ardhi ya Ukraine.
Kabisa aisee. Hata maviatu(faeces) yao wanayoacha wakati wanakimbia wahakikishe wanaondoka nayo. Kama hawataki; basi wakubaliane na suala la kuirutubisha ardhi ya Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…