figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #7,941
Yaani platoon yote imeuma magego. Ukraine walianza na mungu watamaliza na mungu. Mwisho wa siku watatoka tu ndani ya ardhi ya Ukraine.Urusi wamejifanya kuvamia Frontline huko kusini mwa Ukraine. Matokeo yake wwmeyajutia. 12 wamekufa na 7 kijeruhiwa. Majeshi ya Ukraine yapo fit sasa hivi. Asante drone. Wewe unaangalia mbele kotu kinatoka juu🤣🤣🤣
View attachment 2401635
Kikosi cha Drone kinafanya vizuri sana frontline. Hawataki kufumua ubongo wao ni kupiga kende tu lazima unakufa unajiona. Ikikupiga unatoka jasho jembamba kwanza then unauma magego.😂😂😂😂Urusi wamejifanya kuvamia Frontline huko kusini mwa Ukraine. Matokeo yake wwmeyajutia. 12 wamekufa na 7 kijeruhiwa. Majeshi ya Ukraine yapo fit sasa hivi. Asante drone. Wewe unaangalia mbele kotu kinatoka juu🤣🤣🤣
View attachment 2401635
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wamepigwa na kitu kizito chenye ncha kaliSevastopol how are you?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiambiwa uache na ukakaidi utapigwa tu. By Pinda.Mnakumbuka wale walorusha bomu likawarudia, baadhi waliumia ikabidi wajisalimishe kwa Ukraine. Ambao waligoma kujisalimisha wakijua hawajaonwa angalia walivyo miminiwa risasi. Urusi wanakufa kwa dharau, ushaambiwa jisalimishe, kwanini unakataaa?
View attachment 2401809
Wagner group ndo wako eneo hilo. Wanapunguzwa taratibu. Wameng'ang'ania utadhani kuna kitu waliacha Bhakmut.Huko karibu na Bakhmut, Urusi walijaribu kuvamia kikosi cha cha Wanajeshi wa Ukraine wanaotumia Machine gun. Hakuna Mrusi aliyerudi alipotoka. Wote waliovamia walikufa
View attachment 2401816