Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wamejifanya kuvamia Frontline huko kusini mwa Ukraine. Matokeo yake wwmeyajutia. 12 wamekufa na 7 kijeruhiwa. Majeshi ya Ukraine yapo fit sasa hivi. Asante drone. Wewe unaangalia mbele kitu kinatoka juu🤣🤣🤣
20221029_215358.jpg
 
Urusi wamejifanya kuvamia Frontline huko kusini mwa Ukraine. Matokeo yake wwmeyajutia. 12 wamekufa na 7 kijeruhiwa. Majeshi ya Ukraine yapo fit sasa hivi. Asante drone. Wewe unaangalia mbele kotu kinatoka juu🤣🤣🤣
View attachment 2401635
Yaani platoon yote imeuma magego. Ukraine walianza na mungu watamaliza na mungu. Mwisho wa siku watatoka tu ndani ya ardhi ya Ukraine.
 
Urusi wamejifanya kuvamia Frontline huko kusini mwa Ukraine. Matokeo yake wwmeyajutia. 12 wamekufa na 7 kijeruhiwa. Majeshi ya Ukraine yapo fit sasa hivi. Asante drone. Wewe unaangalia mbele kotu kinatoka juu🤣🤣🤣
View attachment 2401635
Kikosi cha Drone kinafanya vizuri sana frontline. Hawataki kufumua ubongo wao ni kupiga kende tu lazima unakufa unajiona. Ikikupiga unatoka jasho jembamba kwanza then unauma magego.😂😂😂😂
 
Hawa wenzetu wa Azov walishikiliwa Na Urisi, hawa walikamatwa Mariupol Azovstal. Walipoachiwa huru leo baada ya kubadilishana wafungwa, walitupa zawadi walizopewa. Nchi ya Ukriane itawapa zawadi zaidi ya hizi. Azov ni kitu kingine.
 
Mnakumbuka wale walorusha bomu likawarudia, baadhi waliumia ikabidi wajisalimishe kwa Ukraine. Ambao waligoma kujisalimisha wakijua hawajaonwa angalia walivyo miminiwa risasi. Urusi wanakufa kwa dharau, ushaambiwa jisalimishe, kwanini unakataaa?
 
Huko karibu na Bakhmut, Urusi walijaribu kuvamia kikosi cha cha Wanajeshi wa Ukraine wanaotumia Machine gun. Hakuna Mrusi aliyerudi alipotoka. Wote waliovamia walikufa
 
Mnakumbuka wale walorusha bomu likawarudia, baadhi waliumia ikabidi wajisalimishe kwa Ukraine. Ambao waligoma kujisalimisha wakijua hawajaonwa angalia walivyo miminiwa risasi. Urusi wanakufa kwa dharau, ushaambiwa jisalimishe, kwanini unakataaa?
View attachment 2401809
Ukiambiwa uache na ukakaidi utapigwa tu. By Pinda.
 
Back
Top Bottom