Nyani katema bungo, Hahaa. Mrussi angelijua kwamba Ukraine hana shida na old fashioned silaha asingelihaha kiasi hicho kuzikimbiza. Ukraine alishasema na akarudia tena na tena: Mrussi aondoke kwenye ardhi ya Ukraine lakini wapi .Mrussi kakaza fuvu. Hayo machuma-chuma yake ya mwaka 47 nani anayataka? Ajibee makorokoro yake aliyoingiza huko Ukraine aondoke nayo akamwoneshe mke wake. La! Hataki basi ajue kuendelea kuwepo kimabavu kwa Mrussi kwenye ardhi ya Ukraine ni kichefuchefu.Urusi inaelekea imekubali matokeo huko Kherson Magharibi. Wameamua kuondoa vikosi vyao vya mizinga huko, nahisi wanahifia hivyo vikosi kutekwa na silaha kuangukia mikononi mwa WaUkraine
Hadi airport wameondoa vifaru vyao.Urusi inaelekea imekubali matokeo huko Kherson Magharibi. Wameamua kuondoa vikosi vyao vya mizinga huko, nahisi wanahifia hivyo vikosi kutekwa na silaha kuangukia mikononi mwa WaUkraine
Anatakiwa awe na ulinzi imara wa anga lake ndo ampige. Ngoja tuone NASAMS zikifika na kuanza kufanya kazi zitasaidia kwa kiwango gani. Ukraine ikithibiti anga Russia lazima aombe mazungumzo kwa juhudi zote.Tatizo Ukraine anamlea Urusi, anatakiwa atafute mbinu ya kumsababishia Urusi giza hata la wiki, ili adabu iwepo
Slava Ukraine [emoji1255]Siku mbaya kwa Warusi. Hawa kwenye Video ni Ukraine, Walirushiwa grenade bahati nzuri ikagonga mti na kuwarudia kwenye handaki. Ikabidi wawaminie risasi kuwamalizia.. Huyo jamaa anakimbia bomu lipasuke akiwa mbali, kumbe limerudi lilipotoka[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2400912
Bravo Ukraine [emoji1255]Huyu ndege kawaganda Frontline wa Ukriane kila wanapoenda kisa tu wamempa maji[emoji1787][emoji1787]. Wanyama tuwatendee mema,
View attachment 2401291
Zinawamaliza warusiHIMARS zikiwa zinasonga mbele Frontline
View attachment 2402504
Ndiyo, lakini Ukraine akifanya hivyo (na uwezo huo anao)atakuwa amekiuka Taratibu za kivita za Kimataifa na hivyo kumfanya Ukraine aonekane ni mkorofi sawa na Mrussi.Tatizo Ukraine anamlea Urusi, anatakiwa atafute mbinu ya kumsababishia Urusi giza hata la wiki, ili adabu iwepo
Pia itawaunganisha Warusi nyuma ya Putin, kitu ambacho Putin anakitafuta sana!Ndiyo, lakini Ukraine akifanya hivyo (na uwezo huo anao)atakuwa amekiuka Taratibu za kivita za Kimataifa na hivyo kumfanya Ukraine aonekane ni mkorofi sawa na Mrussi.
Kama sikosei ni vita ya Iraq kuna helicopter ya US ililiwa kichwa kwa sababu ya kupost picha au live streaming kama sikosei.Unajua hizi Video tunapost zinaacha alama(geolocation). Hawa Warusi walipost Video wakijitapa huko Bakhmut, Ukraine wakaichunguza na kugundua wapo latitude na Longitude 48°33'27.59"N, 38° 4'55.52"E. Wote wakateketezwa. Hili kosa tu la Technology. Ndo Maana Kherson wanataka picha zisipostiwe muda huo huo majeshi yalipo.
View attachment 2402500View attachment 2402501
View attachment 2402503
Kumbe kwa ground Ukraine anaunda kamikaze drone za kwake mwenyewe ili azitumie ndani ya UrusiAnatakiwa awe na ulinzi imara wa anga lake ndo ampige. Ngoja tuone NASAMS zikifika na kuanza kufanya kazi zitasaidia kwa kiwango gani. Ukraine ikithibiti anga Russia lazima aombe mazungumzo kwa juhudi zote.
Mrussi alienda kupiga magoti na kuomba kuuziwa kutoka Iran. Iran anapiga hela ndefu sana kutoka kwa Mrussi.Kumbe kwa ground Ukraine anaunda kamikaze drone za kwake mwenyewe ili azitumie ndani ya Urusi
IRIS-T ya German ufanisi wake wa kudaka makombora ni 100%. Maana yake wakipata IRIS-T za kutosha anga la Ukraine litakuwa salama kabisa, hakuna fisi wa kukatiza. Ngoja NASAMS zifike utakuwa mwisho wa Russia makombora yake kuua au kudhuru wa-UkraineKumbe kwa ground Ukraine anaunda kamikaze drone za kwake mwenyewe ili azitumie ndani ya Urusi