Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Azov wamesema huyu ana bahati leo hawauwi. Wanataka wapate mateka wengi ili kubadilishana na Walokamatwa na Urusi. Pili wanasema Wenzao waliokuwa Urusi wameshaachiwa. Kherson
20221031_231544.jpg
 
Kama sikosei ni vita ya Iraq kuna helicopter ya US ililiwa kichwa kwa sababu ya kupost picha au live streaming kama sikosei.

Ukraine wapo sahihi

Madhara ya kugeotag picture kwa wajeshi haya[emoji115][emoji115]
Zamani nilikuwa sielewi kwa nini ukipita kwenye kambi za Jeshi unakuta bango kubwa la ni "Marufuku kupiga picha maeneo haya". Sasa nimejua
 
Kuna habari kuwa Iran inaisaidia Urusi kurecruit Makomando wa Afghanistan wakaisaidie Urusi kupigana huko Ukraine. Iran inawaleta hao Makomando kutoka Afghanistan, kisha inawaunganisha na Warusi. Na wanalipwa hadi dola 1500 kwa mwezi!.

Hii nchi ya Iran sielewi mahesabu yake, badala iplay positive role, yenyewe inajiingiza katika confrontation na west bila sababu za msingi!.
 
Mkataa pema, pabaya panamwita. Ni afadhali angekuwa neutral. Lakini Iran kwa hiki anachokifanya sio sawa.
 
Kuna habari kuwa Iran inaisaidia Urusi kurecruit Makomando wa Afghanistan wakaisaidie Urusi kupigana huko Ukraine. Iran inawaleta hao Makomando kutoka Afghanistan, kisha inawaunganisha na Warusi. Na wanalipwa hadi dola 1500 kwa mwezi!.

Hii nchi ya Iran sielewi mahesabu yake, badala iplay positive role, yenyewe inajiingiza katika confrontation na west bila sababu za msingi!.
Mbona NATO Ina Askari wake Ukraine na kutoa silaha kila uchwao na sioni mkishauri iache kuchochea mapigano....?
 
Back
Top Bottom