figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,001
Usiwaibie siri. Sasa tunaenda chini kwa chiniKumbe kwa ground Ukraine anaunda kamikaze drone za kwake mwenyewe ili azitumie ndani ya Urusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwaibie siri. Sasa tunaenda chini kwa chiniKumbe kwa ground Ukraine anaunda kamikaze drone za kwake mwenyewe ili azitumie ndani ya Urusi
Slava Ukraine [emoji1255]Azov wamesema huyu ana bahati leo hawauwi. Wanataka wapate mateka wengi ili kubadilishana na Walokamatwa na Urusi. Pili wanasema Wenzao waliokuwa Urusi wameshaachiwa. Kherson
View attachment 2403455
Zamani nilikuwa sielewi kwa nini ukipita kwenye kambi za Jeshi unakuta bango kubwa la ni "Marufuku kupiga picha maeneo haya". Sasa nimejuaKama sikosei ni vita ya Iraq kuna helicopter ya US ililiwa kichwa kwa sababu ya kupost picha au live streaming kama sikosei.
Ukraine wapo sahihi
![]()
US Army: Geotagged Facebook posts put soldiers' lives at risk
Photos posted on social media sites like Facebook that are geotagged - marked with a location - put soldiers and their families in danger, the US Army warns.www.bbc.com
Madhara ya kugeotag picture kwa wajeshi haya[emoji115][emoji115]
Yes! Ingekuwa ni kwenye hafla/sherehe, tunasema unawafanyia sapraizi.Usiwaibie siri. Sasa tunaenda chini kwa chini
Duh! ana bahati kweli. Halafu AZOV kamwekea mkono utadhani anampa Upako. 😂 😂 😂Azov wamesema huyu ana bahati leo hawauwi. Wanataka wapate mateka wengi ili kubadilishana na Walokamatwa na Urusi. Pili wanasema Wenzao waliokuwa Urusi wameshaachiwa. Kherson
View attachment 2403455
Mkataa pema, pabaya panamwita. Ni afadhali angekuwa neutral. Lakini Iran kwa hiki anachokifanya sio sawa.Kuna habari kuwa Iran inaisaidia Urusi kurecruit Makomando wa Afghanistan wakaisaidie Urusi kupigana huko Ukraine. Iran inawaleta hao Makomando kutoka Afghanistan, kisha inawaunganisha na Warusi. Na wanalipwa hadi dola 1500 kwa mwezi!.
Hii nchi ya Iran sielewi mahesabu yake, badala iplay positive role, yenyewe inajiingiza katika confrontation na west bila sababu za msingi!.
Mbona NATO Ina Askari wake Ukraine na kutoa silaha kila uchwao na sioni mkishauri iache kuchochea mapigano....?Kuna habari kuwa Iran inaisaidia Urusi kurecruit Makomando wa Afghanistan wakaisaidie Urusi kupigana huko Ukraine. Iran inawaleta hao Makomando kutoka Afghanistan, kisha inawaunganisha na Warusi. Na wanalipwa hadi dola 1500 kwa mwezi!.
Hii nchi ya Iran sielewi mahesabu yake, badala iplay positive role, yenyewe inajiingiza katika confrontation na west bila sababu za msingi!.
Alisema huyu tunamuacha. Hatarudi kwao kwenye mfuko mweusiDuh! ana bahati kweli. Halafu AZOV kamwekea mkono utadhani anampa Upako. 😂 😂 😂