Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii ndo GEPARD anti-aircraft self-propelled gun ya Ujerumani. Inatungua drone za Iran vibaya sana. Inatembea na rada yake. Inatema risasi balaa. Drone hapa haikatizi na haijakatiza. Tunatakiwa kupata za kutosha. Mikwara yake sasa🤣🤣🤣
 
Sio watu wa kusurrender!
Unajitoa ufahamu. Baada ya Wanajeshi 34 kufa na kuwekwa kwenye mifuko ya rambo, hawa wakajisalimisha na silaha zao. Ila kwa sababu ni mjinga wa kutotaka kuelewa Urusi ni Magaidi, hutaelewa.

Warusi wenzio wanakusalimia
 
View attachment 2404175
Unanioneaha picha ya askari 3,Wakati kule kwenye plant walijisalimisha wa Ukraine 2000+!
Wait and see how SMO ends!
 
Unanioneaha picha ya askari 3,Wakati kule kwenye plant walijisalimisha wa Ukraine 2000+!
Wait and see how SMO ends!
Ishu umesema hawajisalimishi. Ndo nikakupa mfano ili uache kuropoka. Taja hiyo plant na tuoneshe hao 3000. Sio unatuletea ngonjera. Ndivyo ulidanganywa? Mara ya mwisho wanajeshi wengi kujisalimisha ambayo ipo kwenye kumbukumbu ni Mariupol kwenye Azovstal 19 May 2022 nao waliombwa wajisalimishe na Red cross. Haijatokea tena. Nao walikuwa 771. Hadi sasa 600 wameshaachiliwa huru na 400 wamerudi Frontline. Tunaomba hao 3000 ili tusione unapiga ngonjera na useme wamekamatiwa wapi mwezi gani. Tupe chanzo tujisomee.
 
Ishu umesema hawajisalimishi. Ndo nikakupa mfano ili uache kuropoka. Taja hiyo plant na tuoneshe hao 3000. Sio unatuletea ngonjera. Ndivyo ulidanganywa? Mara ya mwisho wanajeshi wengi kujisalimisha ambayo ipo kwenye kumbukumbu ni Mariupol kwenye Azovstal 19 May 2022 nao waliombwa wajisalimishe na Red cross. Haijatokea tena. Nao walikuwa 771. Hadi sasa 600 wameshaachiliwa huru na 400 wamerudi Frontline. Tunaomba hao 3000 ili tusione unapiga ngonjera na useme wamekamatiwa wapo mwezi gani. Tupe chanzo tujisomee.
Akikupa hiyo reference namtumia liteni la soda
 
Wewe figganigga unatakiwa kuomba kazi ofisi za ccm makao makuu kitengo cha propaganda. Maana akili zako ni kama za marehemu Tambwe aliyenunuliwa kwa bei ya peremende toka CUF na kupewa kitengo cha propaganda na ccm.
Yeye tambwe alikuwa wa hovyo kweli maana mambo yaliyo dhahiri anayapinga kwa hoja dhaifu.
Unajaza mapicha na mavideo ya one sided wakati kiukweli Ukraine wamepata hasara mara tatu zaidi ya warussia. Sababu ni kuwa vita inapiganwa ndani ya ardhi yao. Vifo kwa raia, wanajeshi, ni mara 3 zaidi ya waliokufa kwa upande wa russia ambao wengi ni wanajeshi.

Ukraine wanatoa takwimu za zaidi ya wanajeshi 65000 wa russia wameuliwa. Wakati russia walipeleka jumla ya askari 150k. Kwa hii takwimu ni kwamba nusu ya idadi ya wanajeshi wameuliwa tangu february. Endelea na propaganda mkuu, ila ukweli utajulikana.

FYI Ukraine haiwezi kuwa kama ilivyokuwa mwezi february kabla ya uvamizi wa russia. Zile sehemu za donbass, kherson,Zaporozhizhya, tayari zimeshakuwa sehemu ya russia federation. Zele akiendelea kushupaza shingo ataipoteza pia kharkhiv na Odessa.
 
Ishu umesema hawajisalimishi. Ndo nikakupa mfano ili uache kuropoka. Taja hiyo plant na tuoneshe hao 3000. Sio unatuletea ngonjera. Ndivyo ulidanganywa? Mara ya mwisho wanajeshi wengi kujisalimisha ambayo ipo kwenye kumbukumbu ni Mariupol kwenye Azovstal 19 May 2022 nao waliombwa wajisalimishe na Red cross. Haijatokea tena. Nao walikuwa 771. Hadi sasa 600 wameshaachiliwa huru na 400 wamerudi Frontline. Tunaomba hao 3000 ili tusione unapiga ngonjera na useme wamekamatiwa wapo mwezi gani. Tupe chanzo tujisomee.
Kwenye hao 2000+,walijisalimisha ni 1700,wengine walikwenda na maji baada ya resistance!
 
Ishu umesema hawajisalimishi. Ndo nikakupa mfano ili uache kuropoka. Taja hiyo plant na tuoneshe hao 3000. Sio unatuletea ngonjera. Ndivyo ulidanganywa? Mara ya mwisho wanajeshi wengi kujisalimisha ambayo ipo kwenye kumbukumbu ni Mariupol kwenye Azovstal 19 May 2022 nao waliombwa wajisalimishe na Red cross. Haijatokea tena. Nao walikuwa 771. Hadi sasa 600 wameshaachiliwa huru na 400 wamerudi Frontline. Tunaomba hao 3000 ili tusione unapiga ngonjera na useme wamekamatiwa wapo mwezi gani. Tupe chanzo tujisomee.
Tena hawakuombwa na Red cross kujisalimisha,waliminywa mpaka wakaishiwa chakula na maji!Sasa humo humo walikuwemo na Civilians,ndio makubaliano yakafanyoka wakawlanza kutolewa Civilians chi ya ukaguzo mkali!Baadaye wakabaki wajeda watupu!
 
Back
Top Bottom