"Wanachochea" mapigano yaloanzishwa na Russia. Russia akiyaacha mapigano yake NATO hawatakuwa na cha kuchoehea.Mbona NATO Ina Askari wake Ukraine na kutoa silaha kila uchwao na sioni mkishauri iache kuchochea mapigano....?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Wanachochea" mapigano yaloanzishwa na Russia. Russia akiyaacha mapigano yake NATO hawatakuwa na cha kuchoehea.Mbona NATO Ina Askari wake Ukraine na kutoa silaha kila uchwao na sioni mkishauri iache kuchochea mapigano....?
Unajitoa ufahamu. Baada ya Wanajeshi 34 kufa na kuwekwa kwenye mifuko ya rambo, hawa wakajisalimisha na silaha zao. Ila kwa sababu ni mjinga wa kutotaka kuelewa Urusi ni Magaidi, hutaelewa.Sio watu wa kusurrender!
Unanioneaha picha ya askari 3,Wakati kule kwenye plant walijisalimisha wa Ukraine 2000+!Unajitoa ufahamu. Baada ya Wanajeshi 34 kufa na kuwekwa kwenye mifuko ya rambo, hawa wakajisalimisha na silaha zao. Ila kwa sababu ni mjinga wa kutotaka kuelewa Urusi ni Magaidi, hutaelewa.
Warusi wenzio wanakusalimia
View attachment 2404175
Angalia Warusi wanavyo surrender na kifaru chao.Sio watu wa kusurrender!
Ishu umesema hawajisalimishi. Ndo nikakupa mfano ili uache kuropoka. Taja hiyo plant na tuoneshe hao 3000. Sio unatuletea ngonjera. Ndivyo ulidanganywa? Mara ya mwisho wanajeshi wengi kujisalimisha ambayo ipo kwenye kumbukumbu ni Mariupol kwenye Azovstal 19 May 2022 nao waliombwa wajisalimishe na Red cross. Haijatokea tena. Nao walikuwa 771. Hadi sasa 600 wameshaachiliwa huru na 400 wamerudi Frontline. Tunaomba hao 3000 ili tusione unapiga ngonjera na useme wamekamatiwa wapi mwezi gani. Tupe chanzo tujisomee.Unanioneaha picha ya askari 3,Wakati kule kwenye plant walijisalimisha wa Ukraine 2000+!
Wait and see how SMO ends!
Wale wa Mariopul mbona wamesharudi Ukraine kwa kubadilishana na nyani wa Urusi.Unanioneaha picha ya askari 3,Wakati kule kwenye plant walijisalimisha wa Ukraine 2000+!
Wait and see how SMO ends!
Akikupa hiyo reference namtumia liteni la sodaIshu umesema hawajisalimishi. Ndo nikakupa mfano ili uache kuropoka. Taja hiyo plant na tuoneshe hao 3000. Sio unatuletea ngonjera. Ndivyo ulidanganywa? Mara ya mwisho wanajeshi wengi kujisalimisha ambayo ipo kwenye kumbukumbu ni Mariupol kwenye Azovstal 19 May 2022 nao waliombwa wajisalimishe na Red cross. Haijatokea tena. Nao walikuwa 771. Hadi sasa 600 wameshaachiliwa huru na 400 wamerudi Frontline. Tunaomba hao 3000 ili tusione unapiga ngonjera na useme wamekamatiwa wapo mwezi gani. Tupe chanzo tujisomee.
Kuna uthibitisho wowote? Askari wengi walioenda Ukr ni wakujitolea.Mbona NATO Ina Askari wake Ukraine na kutoa silaha kila uchwao na sioni mkishauri iache kuchochea mapigano....?
Kichwa chako kizito sana,hapo ni battle field!Ukizidiwa na unaona ni kifo kinafuata inabidi iwe hivyo!Mi nazungumzia vita Kwa ujumla!Yaani usitegemee Moscow wakubali matakwa ya Ukraine kumaliza vita!Angalia Warusi wanavyo surrender na kifaru chao.
View attachment 2404187
Kama wa Urusi wakiwa nyani,sijui wewe utakuwa nani?Wale wa Mariopul mbona wamesharudi Ukraine kwa kubadilishana na nyani wa Urusi.
Kwenye hao 2000+,walijisalimisha ni 1700,wengine walikwenda na maji baada ya resistance!Ishu umesema hawajisalimishi. Ndo nikakupa mfano ili uache kuropoka. Taja hiyo plant na tuoneshe hao 3000. Sio unatuletea ngonjera. Ndivyo ulidanganywa? Mara ya mwisho wanajeshi wengi kujisalimisha ambayo ipo kwenye kumbukumbu ni Mariupol kwenye Azovstal 19 May 2022 nao waliombwa wajisalimishe na Red cross. Haijatokea tena. Nao walikuwa 771. Hadi sasa 600 wameshaachiliwa huru na 400 wamerudi Frontline. Tunaomba hao 3000 ili tusione unapiga ngonjera na useme wamekamatiwa wapo mwezi gani. Tupe chanzo tujisomee.
Tena hawakuombwa na Red cross kujisalimisha,waliminywa mpaka wakaishiwa chakula na maji!Sasa humo humo walikuwemo na Civilians,ndio makubaliano yakafanyoka wakawlanza kutolewa Civilians chi ya ukaguzo mkali!Baadaye wakabaki wajeda watupu!Ishu umesema hawajisalimishi. Ndo nikakupa mfano ili uache kuropoka. Taja hiyo plant na tuoneshe hao 3000. Sio unatuletea ngonjera. Ndivyo ulidanganywa? Mara ya mwisho wanajeshi wengi kujisalimisha ambayo ipo kwenye kumbukumbu ni Mariupol kwenye Azovstal 19 May 2022 nao waliombwa wajisalimishe na Red cross. Haijatokea tena. Nao walikuwa 771. Hadi sasa 600 wameshaachiliwa huru na 400 wamerudi Frontline. Tunaomba hao 3000 ili tusione unapiga ngonjera na useme wamekamatiwa wapo mwezi gani. Tupe chanzo tujisomee.
OK. Sasa wewe unayeijua Urussi vizuri utupe mwongozo wa ni nini kitakachotusaida.Hamuijui Russia vizuri ninyi!Hizo propaganda mfu mnazojifariji nazo hazitawasaidia
😆😆😆,Russia 💪💪💪Bwana c muende kwenye nyuzi zenu jamani
Hatuuzi Siri za Kambi!OK. Sasa wewe unayeijua Urussi vizuri utupe mwongozo wa ni nini kitakachotusaida.
Ila ni watu wakufanyaje? Kutimua vumbi bila viatu na kutelekeza silaha auSio watu wa kusurrender!