Mbali wapi bro? Mahesabu yao yame-Identify Strategic position iwe hapo. Wee Subiri Mrussi naye aone kwamba pwani ya Croatia ni mbali halafu ajichanganye ndipo aone mchezo utakavyokuwa.Mbona pwani ya Croatia ni mbali sana na Russia.
Hii Meli ni Uwanja wa ndege. Inatembea na ndege. Kumbuka bezi ya kikosi cha anga cha Marekani kipo Romania. So hii meli inaweza fanya mashambulizi sehemu yoyote kutokea Ulaya. Ni kama Base tu ya kikosi cha anga cha MarekaniMbona pwani ya Croatia ni mbali sana na Russia.
Huenda Mrusi akajaribu kuizamisha kama Moskova ilivyozamishwa ili kubalance stori. Let's wait and see.Ile meli kubwa ya Kivita ya Marekani, imetia nanga Croatia. Na ipo Tayari kujibu mashambulizi kama Urusi ikisema Suu. Imebeba ndege za kutosha
View attachment 2406871
Hakika wanastahili pongezi kubwa kabisa. Mrussi anafunzwa adabu ipasavyo. Slava Ukraine.Angalia Frontline ya Ukraine inqvyofanya kazi. Pongezi kwkaoView attachment 2406980
jibu si unalo?SO NATO na US ndio wameanzisha Vita?