Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Warusi wenyewe wameondoa bendera yao katika jengo la utawala wa mji wa Kherson, wanaogopa aibu kwa bendera yao kushushwa na kukanyagwakanywaga pindi majeshi ya Ukraine yatakapofika hapo, na Yanakaribia.
20221103_120527.jpg
 
It seems Urusi imeng'ang'ania kuondoa raia ktk mji wa kherson ili askari wa Ukraine wakiingia iwapige na Phosphorus bombs kama ilivyofanya huko Bakhmut AU iuharibu kabisa kwa mizinga huku Askari wa Ukraine wakiwa ktk mji huo

Naamini Askari wa Ukraine watakuwa wajanja, watakuwa makini maradufu kwenye kuingia ktk huu mji!
 
Warusi wenyewe wameondoa bendera yao katika jengo la utawala wa mji wa Kherson, wanaogopa aibu kwa bendera yao kushushwa na kukanyagwakanywaga pindi majeshi ya Ukraine yatakapofika hapo, na Yanakaribia.View attachment 2405688
Wamekimbilia karibu na Crimea, mji unaitwa Skadovsk. Wanajua wanaume wanaweza kuwashushia kitu kizito.
 
Miezi nane ya Vita bado Ukraine ina ndege pamoja na kwamba Urusi ilisema umeharibu ndege zote na mifumo ya anga ya Ukraine. Warusi wamefika Ground na kukuta mambo tofsutitofauti. Urusi imejambishwa na Nchi ndogo Ukraine miezi 9. Hawezi fsnya Vita ya dunia kwani atachakazwa hadi aahangae. Nchi ndogo kama Ukraine unashindwa haribu mifumo ya anga bado unajisifia kwamba una jeshi imara Duniani?
View attachment 2405469
Ningependelea watumie ardhi zaidi kuliko air maana wanaji-expose kwa warusi
 
Urusi wanaharibu Minara ya Mawasiliano huko Kherson maeneo ya Ivanivka, Tokarivka na Beryslav. Inahofiwa wanaharibu vitu vyao ili Watakaporetreat, Ukraine isiweze kuvitumia.
View attachment 2405707View attachment 2405708View attachment 2405709View attachment 2405710
Ni ujuha tu huo. Kwani ndo itazuia wasipigwe. Lazima watapigwa tu. Pamoja na kuchimba mifereji ya kujificha zaidi ya 20km na kuweka concrete block lazima watapigwa tu.

Labda kama wataingia kwenye mashimo na vifaru. Kifaru umekiacha nje kitabutuliwa tu na wewe umeng'ang'ania kwenye shimo kama panya buku, si lazima watakudaka tu.
 
It seems Urusi imeng'ang'ania kuondoa raia ktk mji wa kherson ili askari wa Ukraine wakiingia iwapige na Phosphorus bombs kama ilivyofanya huko Bakhmut AU iuharibu kabisa kwa mizinga huku Askari wa Ukraine wakiwa ktk mji huo

Naamini Askari wa Ukraine watakuwa wajanja, watakuwa makini maradufu kwenye kuingia ktk huu mji!
Wanaume wamesha usoma mchezo. Usione ukraine troops zina advance taratibu na kwa umakini na kuna maeneo majeshi hayasongi mbele sababu ya hiyo hatari. Warusi wanajificha kwenye hizo nyumba za raia. Mbaya zaidi wanaiba mali za wananchi
 
👏👏👏
 
Ningependelea watumie ardhi zaidi kuliko air maana wanaji-expose kwa warusi
Ni usafiri wa haraka. Sehemu nyingine hamna barabara. Misitu. Pia helkopta zinasaidia kuretreat. Mfano kifaru kimelipuliwa porini, inabidi Helkopta ije kuwachukua msitekwe. Ndo maana Frontline kuna hadi V8 na Helkopta kwa nyuma. Kusaidia kuhama kwa haraka kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Frontline kuna Magari madogo mengi sana.. Kuaidia kuhama sehemu kwa haraka. Walikuwa Ubungo dakika 10 unawasikia wapo Kigambo.
 
Back
Top Bottom