Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huu uzi umevamiwa na watu wenye ugiligili, sonona, mning'ino wa ukomunisti, ugoto wa mawazo toka kwa watu wenye hamaki inayotaka kusababisha taharuki kwa wengine.

Hayajawa walivyotaka yawe. Wamechanganyikiwa!!!
Ongeza

Wafia dini

Wavaa kobaz

Wanaodhani wanaweza saidiwa na urusi kuendeleza jihad...

Nchi zao za kuiga zote ni magofu
 
Nimemiss sana Lieutenant colonel Denys "Redis" Prokopenko, Komando wa AZOV alowadindia Warusi kule Mariupol Azovstal. Hadi wakaombwa na Uongozi wa Ukraine kujisalimisha. Wao waliaamua wafe ila si kijisalimisha kwa Mrusi. Tumemiss sana ucheshi, Majigambo na Ishujaa wa Redis kwenye Magroup. Mungu azidi kumpa maisha Marefu
20221102_190813.jpg
 
Back
Top Bottom