Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Halafu mnatuambia Himars ni old technology kwa Marekani. Hiyo cutting-edge technology yake si ni balaa duniani?
Siyo kwamba ina old technology. It is made of advanced technology. Silaha nyingi huwa zinaboreshwa kulingana na mahitaji. Kutengenezwa 1990 siyo kwamba ina old technology, la hasha.

HIMARS (M142) is a light machine compared to other MLRS. muundo wa chassis yake kuwa ya matairi kinaifanya iwe more mobility na ina speed kubwa ya kukimbia tofauti na MLRS zingine. Faidi nyingine ni kwamba haikosei target.

USA ana machine zingine ambazo ni long range zaidi ya HIMARS na Bora zaidi ya HIMARS. USA na NATO walisoma mchezo wa mrusi wakaona machine inayofaa Ukraine ni HIMARS. Mrusi angekuwa na machine kali zaidi ya HIMARS wangebadirisha dozi.

USA/ NATO na washirika wanapeleka machine ili kukabiliana na current situation. Ndiyo maana walipoona Mrusi ameanza kushambulia miundombinu ya kiraia badala ya military base au military equipment na kuua raia badala ya wanajeshi wakaona ni vyema wapeleke NASAMS na IRIS-T ili kuwadhibiti hao nyang'au. Mwanzo hawakuona sababu ya kupeleka lakini makombora ya masafa marefu ya 300km - 700km ya mrusi wamefanya wabadili msimamo na kukubali kulinda anga la Ukraine lote kwa machine ambazo zinaweza kudaka makombora yote kwa 100% na kujibu mapigo kule makombora yanakotokea.
 
NATO imepishana na Urusi miaka kama 10 hivi kiteknolojia...hata China huenda kidogo ikafua dafu maana hizo 'copy and paste' za silaha za kimagharibi wanazimudu japo kidogo.
T14 Armata Elungata
 
Safi mnooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…