Nyumba za raia waligeuza kuwa za kwao hadi wanahifadhia crates za risasi.Urusi waliukimbia mzigo
View attachment 2414620
shame On them
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba za raia waligeuza kuwa za kwao hadi wanahifadhia crates za risasi.Urusi waliukimbia mzigo
View attachment 2414620
Kati ya wewe na Putin nani mpuuzi?Walikuwa wanasema eti ile decree ya Putin itaongezwa nguvu kwa kuwa Kherson ni Urusi na Ukraine wataonekana kama wavamizi hivyo kumfanya Putin aruhusu nguvu kubwa zaidi itumike!
Kimsingi PuT In NI Mpuuzi sana, watu wenye akili wamemdharau sana.
😂😂😂wamekuwa wadogo kama piliton, Wananchi watawatambua wote. Hata akijifungia kwenye nyumba za watu chakula kikiisha watatoka nje tuKuna Warusi waliamua kujichanganya na Raia wa Kherson. Sasa leo wameanza kuwachomoa mtaani. Bora Warusi wajisalimishe. Huyu sijui kapelekwa wapi.
View attachment 2414596
Mrussi sio binadamu aisee. Lakini ngoja adakwe yeye Mrussi katika uwanja wa mapambano yaani atekwe. Haaaa. Anakuwa mpole, anakuwa mnyong'onyevu,anakuwa ni mtu wa kutia huruma sana. Anavaa ngozi ya kondoo kwa nje lakini kumbe kwa ndani ni mbwa mwitu- Anawamalizia kwa risasi Warussi wenzake majeruhi frontline, Anadiriki hata kumuua Mrussi kiongozi kama huyu ambaye pengine alilitumikia taifa lake kwa uaminifu na kwa muda mrefu. Mrussi!, we acha tu.Denys Myronov alikuwa deputy commander wa Kherson defence unit. Alikataa kushirikiana na Urusi, wakamtesa sana. Amefia mikononi mwa Warusi walipokuwa wamemshikilia. Huyu ni Mfungwa wa Kivita, kwanini wamuue? Mbona sisi wanaojisalimisha tunaachia wanarudi kwao? Ndo maana nawaelewa Azov
View attachment 2414665
😂😂😂 hatari sana. Ilibidi waoge na kubadirisha magwanda yao. Hao lazima watanaswa tu, unless kama walichomoka na magari binafsi kabla daraja halijavunjwa.Warusi wengine walikuwa hawajakutana na muziki wa Azov, wenzao wanaretreat wakaachwa. Leo tumekuta sehemu wamebadilishia magwanda yao na kujichanganya na Wananchi. Mitaa ishafungwa, barabara zimefungwa, watapita wapi?
View attachment 2414600
Kwisha habari yake kivipi. Hapo nimemlinganisha na Mchina maana kuhusu Mmarekani sijawahi waza kama Russia ana uwezo sawa au kuzidi US.Kwa maana hiyo, Sasa Mrussi kwisha habari yake siyo?
Mtu mjinga siku zote anaongozwa na ujeuri wa kichwani mwake. Wameona shida gani kujisalimisha? Sasa zamani walikuwa wanasikia AZOV, AZOV ila sasa watamwona AZOV kwa macho yao katika uhalisia wake. Labda sasa watajipaka mavi yao kama silaha ya mwisho ili wasikamatwe. Kitu ambacho hakitawasaidia sana.Warusi wengine walikuwa hawajakutana na muziki wa Azov, wenzao wanaretreat wakaachwa. Leo tumekuta sehemu wamebadilishia magwanda yao na kujichanganya na Wananchi. Mitaa ishafungwa, barabara zimefungwa, watapita wapi?
View attachment 2414600
Hao lazima watanaswa tu. Hachomoki mtu - ndo maana wamepewa kazi hiyo washari wao i.e. AZOV.😂😂😂 hatari sana. Ilibidi waoge na kubadirisha magwanda yao. Hao lazima watanaswa tu, unless kama walichomoka na magari binafsi kabla daraja halijavunjwa.
😂😂😂 walifanya kama uchaguzi wetu wa 2020. Labda walijifunza kwetu 🚶♂️🚶♂️Sasa Urusi waje Kherson waendeshe zoezi la kura tuone wanapata ngapi
View attachment 2414649
Mrussi ni mfa maji haachi kutapatapa.Baada ya kuona muda kuretreat umeisha na Azov wanasonga kwa nguvu, kikosi cha anga cha Urusi 76th division kiliamua kulipua Vifaru vyao ili visiangukie mikononi mwa Azov. Kumbuka Azov ndo walitangulia kusafisha njia
View attachment 2414606
Mpuuzi ni Putin akifuatiwa na wewe. Mbona hilo liko wazi?.Kati ya wewe na Putin nani mpuuzi?
Usipoteze muda wako kumjibu nunda kama yule.Mpuuzi ni Putin akifuatiwa na wewe. Mbona hilo liko wazi?.
Kwa nini kusubiri muda mpaka chakula kiishe? Wanachi wahamasishwe ili wawataje idadi na mahali walipo. Then wakakusanywe.Wale watakaoleta za kuleta wapelekewe moto chap.😂😂😂wamekuwa wadogo kama piliton, Wananchi watawatambua wote. Hata akijifungia kwenye nyumba za watu chakula kikiisha watatoka nje tu
Wewe ndio mpuuzi mkuu.Kati ya wewe na Putin nani mpuuzi?
Kha! Kwanza siku yenyewe ya kupiga kura Mahudhurio kwenye vituo vya kupiga kura ni sifuri (0). Watakuwepo Msimamizi wa Uchaguzi, Msaidizi wake na Mgambo wa kulinda Amani (lakini ni analinda masanduku ya kura) basi.Sasa Urusi waje Kherson waendeshe zoezi la kura tuone wanapata ngapi
View attachment 2414649
Walianza kwa kupata baraka za wazee wao na sasa ni muhimu/hawana budi kwenda kutoa shukrani na kuonesha heshima kwao pindi unapopata nafasi ya kufanya hivyo. Utabarikiwa sana au utafanikiwa sana. Huyu mpiganaji wa Ukraine amelizingatia hilo.Baada ya kukomboa Mji wao akaenda kwa bibi kwanza
View attachment 2414824
Wazee hawa wamepata maumivu makali ya mioyo yao sababu ya mtu mpuuzi anayeitwa Putin.Baada ya kukomboa Mji wao akaenda kwa bibi kwanza
View attachment 2414824
Naam ; sala na dua za wazee vitamfuata popote aendapo na itakuwa kheri na baraka kwake siku zote. Hata maandiko (Kati ya amri kumi za Mungu) yanadai au yanaamuru uwaheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani.Wazee hawa wamepata maumivu makali ya mioyo yao sababu ya mtu mpuuzi anayeitwa Putin.
Mzee kama huyu hawezi hata kukimbia. Siku zote atakuwa anamuwazia mjukuu wake. Mungu ni mwema bado kamanda anapiga mzigo