figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #8,901
Hapa ni Makiivka, Mkoani Luhansk. Urusi wamekamatwa kama kuku wa kisasa. Hawakujua wamezungukwa, Wakamrushia risasi Mwanajeshi wa Ukriane.. Wamepelekewa moto hadi wakaweka mikono juu. Ambao walijifanya kujificha ndani, wakitafutwa kwa risasi. Ila hawa waliokufa walitaka wenyeww, wenzako wamejisalimisha, kwanini urushe risasi? Angesababisha wote wauawe. Alidharau alikua askari wa Ukraine yupo peke yake kumbe wengine wamejificha. Watakuwa wamemlaumu sana. Amesababisha watu wapigwe risasi wakati walikuwa wamejisalimisha