figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #8,901
Malipo yake ya usalitiMnakumbuka yule naibu Mkuu wa Mkoa wa Kherson waliodai kapata ajali akafa? Imegundulika Urusi walimuua baada ya kumtumia kisha Wakaretreat. Huyu alikuwa raia wa Ukriane, Urusi walipovamia akasaliti na kujiunga Urusi. Wakampa umakamo wa Mkuu wa Mkoa. Mkuu wa Mkoa alitoka Urusi, huyu wa Ukraine alikuwa msaidizi. Urusi walipotaka kuretreat wakasema kapata ajali ambapo gari liliondolewa haraka.
Imebainika baada ya Urusi kumtumia wakamuua ili asitoe siri then Wakaretreat.
Hili ni gari la Stremusov walidai kagongana na lori kumbe gari lilipigwa ambush ya risasi
View attachment 2419678View attachment 2419679
Hapa ni Makiivka, Mkoani Luhansk. Urusi wamekamatwa kama kuku wa kisasa. Hawakujua wamezungukwa, Wakamrushia risasi Mwanajeshi wa Ukriane.. Wamepelekewa moto hadi wakaweka mikono juu. Ambao walijifanya kujificha ndani, wakitafutwa kwa risasi. Ila hawa waliokufa walitaka wenyeww, wenzako wamejisalimisha, kwanini urushe risasi? Angesababisha wote wauawe. Alidharau alikua askari wa Ukraine yupo peke yake kumbe wengine wamejificha. Watakuwa wamemlaumu sana. Amesababisha watu wapigwe risasi wakati walikuwa wamejisalimisha
View attachment 2420122
Mrusi atakuwa na mavazi ya kujikinga na baridi kweli. Lazima atakuwa kwenye wakati mgumu, ndo maana wanadakwa kwenye nyumba za raia wakiwa wanahangaika kutafuta jotoBaridi la kufa mtu
View attachment 2420197
Urusi imewaachia huru watoto 35,000 waliotekwa Ukraine
View attachment 2420131
Hiyo bendera ya kijani juu ya tank ni ya nchi gani. Ile tank nyingine pia ina bendera ya nyekundu na nyeupe. Sijaelewa.