Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

36th Marine Brigade ndo hawa
Your browser is not able to display this video.
 
BM-21 ya Urusi imedakwa
Your browser is not able to display this video.

 
T-72B hatujajua kakiokota wapi. Wanakipeleka gereji kwa marekebisho then kinarudi kazini. Ni ya Urusi mikononi mwa Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Hizi ambulance zote zaidi ya Km 1 zimebeba Wanajeshu Wa Urusi walio jeruhiwa Ukrainr. Wanabebwa na ndege na kupelekwa Hospitali ya Saint-Petersburg Urusi. Wengi viungo vya mwili vimebaki Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Silaha niipendayo NLAW ikiwa Kazini. Inaunguza vifaru vya Urusi kama uzi wa pamba ukiguswa na moto au Vinaungua kama Karatasi
Your browser is not able to display this video.
 
Wambieni Urusi kwamba, Senior Lieutenant Zhantuar Iskaliyev, Kamanda wa 90th Tank Division's 239th Tank Regiment aliuawa 6 Machi 2022. Mjane bado mbichi kabisa. Ni kujiokotea tu


 
Komando alomkamata Viktor Medvedchuk ndo huyu.

 
Ni nani huyu na alifanya nin!!
Ni rafiki na Godfather wa watoto wa Putin. Pia mwanasiasa wa Ukraine

1. Anapinga Ukraine kujiunga na NATO
2. Anatoa Siri za Nchi kwa Urusi na kuhamasisha usaliti ili wanajeshi wajisalimishe kwa Urusi.
3. Putin anapigana vita ili huyu ndo awe Rais wa Ukraine
4. Vita kipindi inaanza, huyu aliwekwa Kizuizini, askari wa Urusi wakaja kimtoa na kimtorosha, hawajampeleka Urusi. Walimficha Ukraine. Makomando wa Ukraine wakamsaka kama siku 10 hatimaye kakamatwa.
5. Yeye anafurahia vifo vya Waukraine. Na informer wa Urusi
Alivyo mdogo utadhani sio yeye na ubabe wake. Kweli kuishi raha

 
Senior Sergeant Daba Tsyrempilov served in the reconnaissance company of the 5th Tank Brigade,kakukufa. Risasi moja tu
 
Ngoja leo nipumzike Kupost Vifaru. Nataka nipost Makamanda wa Vikosi wa Urusi tulio waua Ukraine. Japo Makamanda 20 tu ndo tuendelee. Kumbuka kumuua Mkuu wa kikosi, wanajeshi kibao wanakuwa wamekufa kablya yake. Twende kazi. Nataka watu wajue kwamba Urusi wamepoteza sana na watajutia vizazi na Vizazi baada ya kifo cha Putin
 
Herman Gutko na Dmitry Kotov wote walikuwa Mabaharia Black Sea Fleet's Novocherkassk Project 775 Ropucha large landing ship. Waliuawa Berdyansk tarehe 24 March 2022
 
Senior Lieutenant Rashid Salavatov alikuwa spetsnaz group commander kutoka Volgograd. Alikukufa
 
Junior Sergeant Mikhail Shabaev kutoka Volgograd aliawa March 13.
 
Luteni Maxim Svetlenko alifanya kazi VDV's 331st Airborne Regiment. Aliuawa March 12.
 
Vladislav Salamatov, wa District's 90th Tank Division, aliawa March 9.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…