Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kifalu Cha Urusi aina ya TOS-1A kimetekwa na jeshi la Ukraine karibu na mji wa Izyum Mashariki mwa Ukraine.
1649660370488.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sas Mariupol sikia tunakuja. Jeshi la Ukraine likiharibu Vifaru vya Urusi.

Haya ni Magari aina ya MT-LB, na Vifaru viwili aina ya T-72B.
 
Angalia hii. Vifaru vya Urusi vinateketezwa jamani. Uuiiii...
 
Urusi wanajua Izyum ikakamatwa Donbas imekwenda na maji. So Urusi wanajitahidi Ukraine wasivuke darajani. Ila hawa Warusi tutawazunguka tu
20220411_163433.jpg
 
Inadaiwa Convoy ya Jeshi la Urusi yenye urefu wa 13 yameharibiwa Usiku wa Kuamkia leo yakielekea Izyum Ila bado hatujatumiwa picha. Hawa Urusi wanajifanya mchana wanapaki usiku wanatembea, tumewafanyizia. Haya ni maangamizi
20220411_172914.jpg

 
Ukraine sasa nguvu zote ni Izyum. Urusi wameanza kuipatapata. Tukutane Izyum
 
Sasa wiki hii Sikilizia Muziki. Warusi, wameleta Vikosi vilivyokuwa vinalinda Donbas kuja kuongeza nguvu Izyum. Wanatembea kwa kufuatana kama kumbikumbi. Nitawapa Update hapa kitakacho wakuta.

Hii ni convoy ya Urusi ilokuwa Donbas wakienda kuulinda mji wa Izyum Usichukuliwe na Ukraine. Nawaonea huruma.. Wote hawa wanaenda kufa na Vifaru vitakuwa mali ya Ukraine. Izyum ni mji muhimu kama ilivyokuwa Bucha. Huu mji siku si nyingi Ukraine wanarudisha. Nasikia UK wanaleta Vifaru kusaidia Ukraine.
 
Hawa n 4th Guards wa Urusi, wametengeza daraja la kuelea hapa Izyum ili wapitishe Vifaru vyao aina ya T-80U, T-80BVM, BMP-2. Hawa tuliwafurumusha kule Trostyanets Mkoani Sumy. Tutakachofanya; Wakishavuka wote tunalipua kadaraja kao then tunawamiminia njugu. Mbele hawaendi, nyuma hawaendi. Kifaru baada ya kifaru. Tutakutana hapa hapa.
 
Hiki kikosi cha Urusi kinachoitwa 4th Tank Division, Walipo weka kambi pale Trostyanets Mkoani Sumy, tuliwanyang'anya Vifaru na Magari Mengi hadi wameamua kukimbilia huku Izyum. Tunawafuata kimya kimya. Baadhi ya Vifaa vya Jeshi walivyopoteza Sumy ni pamona na;
3x Msta-S
3x BMP-2
1x Typhoon-K
1x Mobile bridge
2x T-80UE-1
1x T-80U
1x T-80BV
15x trucks
1x MT-LBu
1x KSM
1x R-166-0.5
1x UAZ-452
1x 9T452 BM-27 Uragan filler
Hivi vibnavyo vuka ndo Vimesalia. Tutavimalizia. Hii picha ni orodha ya Vifaa tulivyowanyang'anya
20220411_194349.jpg
 
Kifaru T-72 cha Urusi kikiwaka Moto maeneo ya Izyum
20220411_200048.jpg
 
Vifaru vya Urusi aina ya T-72B na BTR-80 APC leo vimechakazwa Mkoani Luhansk
20220411_203619.png
 
Ukraine leo imefyeka Vifaru vya Urusi aina ya BTG Mkoani Donetsk pia wamemuua battalion commander na chief of staff ndani ya Kifaru cha Urusi aina ya BMP-3. Naamua kuweka picha za maiti sababu watu wanadai Warusi hawafi.
20220411_204714.jpg
20220411_204712.jpg
20220411_204706.jpg

20220411_210113.jpg
20220411_210111.jpg
 
Kabla hakujakucha. Niliwaambia. Angalia hii moto faya walopata Urusi. Hapa Ukraine imeharibu Magari na Vifaru zaidi ya 25. Sitaonesha maiti, mtakosa usingizi sababu Warusi wamepoteza viungo vya mwili. Jicho, mikono, miguu, makagare nk

Hapa ni mjini Novoaidar Mkoani Luhansk. Hapa kuna magari na vifaru aina ya, 2+ BM-21 "Grad" pattern MRLs. Karibuni Izyum
 
Hapa ni Kamyanka, Mkoani Donetsk na hivi ni vifaru aina ya Ru T-72B, T-64BV,Ru T-72B. Hongera UA.
 
Back
Top Bottom