Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Kifalu Cha Urusi aina ya TOS-1A kimetekwa na jeshi la Ukraine karibu na mji wa Izyum Mashariki mwa Ukraine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haka ka mji hii wiki haiishi. Na tukiiteka Izyum, Mariupol Wataanza kutafutana.. Yaani Urusi watakua wanakimbia ovyo, aliye ndani anayoka nje, aliye nje anaingia ndaniKifalu Cha Urusi aina ya TOS-1A kimetekwa na jeshi la Ukraine karibu na mji wa Izyum Mashariki mwa Ukraine.View attachment 2183560
Sent using Jamii Forums mobile app
HakikaHaka ka mji hii wiki haiishi. Na tukiiteka Izyum, Mariupol Wataanza kutafutana.. Yaani Urusi watakua wanakimbia ovyo, aliye ndani anayoka nje, aliye nje anaingia ndani
Mkuu haya magari ni aina gani au ni Jackal? Yameingia lini Ukraine? Sababu huu mzigo mpya hatujauona. Naamini hivi karibuni tutaanza kuona Magari aina ya Mastiff MRAP ndani ya DonbassMsaada wa magari ya kivita kutoka Uingereza kwa Ukraine.View attachment 2183997
Sent using Jamii Forums mobile app