Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hii ndo Skif au Stugna-P ya kulipua Vifaru vya Urusi. Unaweza kuiita missile (ATGM) system. Hapa ikiwa kazini
 
Hii ndo Stugna-P. Inatumia remote. Unaweza ukatumia remote umbali wa Mita 50 kutoka ilipo na ukalenga shabaha
Stugna-P_anti-tank_guided_missile_system_Ukraine_925_003.jpg
 
Urusi: Tuna Msururu wa Vifaru urefu wa km 64. Vipo wapi? 🤣🤣Hii ni kazi ya drones tu. Wala hazikuwa na rubani just remote
 
Ni wapiganaji wa Miguu wa kujitolea. Wazalendo walinda Nchi. Ni raia wa Ukraine. Wapo mji wa Mariupol. Hiki kikundi kilitambuliwa rasmi mwaka 2014. Kutokana na uhodari wao vitani, Uingereza Marekani canada, waliwapa mafunzo ya kijeshi. Wapo Vizuri. Wanatambulika kama The National Guard of Ukraine. Wanaongea Kirusi pia. Ni story ndefu. Kipindi cha Nyuma walikuwa wanatuhumiwa kutesa na kuua raia kama tanzania ilivyo watu wasiojulikana. Serikali ikawaingiza kwenye jeshi la Polisi. Ila Urusi walipovamia, wamepewa Silaha na kusimama kama Azov. Hiki kikundi pia kina bifu na Jeshi la Chechnya. Ndo maana Wachechen wakamsapoti Urusi ili waje kuwaangamiza coz walikuwa wanafanya nchi yao isitulie. So Wachechen wapo Mariupol wanapambana na Azov. Wachechen wanasaidiwa na Urusi huku Azov wakisaisiwa na Ukraine. Vita ndani ya Vita. Tatizo la Azov hawana huruma. Askari wa Urusi wakijisalimisha wanaua. Wanadai hawana Magereza ya kuwaweka na hakuna wa kuwahudumia chakula. So mtajisalimisha, hadi ifike asubuhi wote mshakufa. Putin anawachukia sana Azov
Asante Sana kwa ufafanuzi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii silaha ilitoka UK Starstreak MANPADS . Kwa mara ya kwanza ndo inaonekana ikitumika Ukraine na kudondosha Orlan-10 UAV ya Urusi
 
Hii ndo Orlan-10 UAV ya Urusi iliyodondoshwa.

20220410_171234.jpg


20220410_171231.jpg


20220410_171229.jpg
 
Mkoani Kherson wananchi waandamana kupinga uvamizi wa Urusi. Eti Urusi wapo wanatengeneza katiba wapaite Jamhuri ya Kherson.
 
BTR-D cha Urusi
 
Urusi walikuwa wanajaribu kukatiza mto bila kujua Ukraine wameweka mtego. Wameteketea
 
Kifaru cha Urusi aina ya A 9P149 Shturm-S ATGM, kikipelekwa Gereji ya Ukraine. Walikimbia
 
Hii hatukipost sababu hatukua na uhakika. Tarehe 14 March 2022 ndege ya Urusi aina ya Su-34 yenye namba RF-95010 (35 Red) ilidondoshwa na majeshi ya Ukraine.
20220410_173422.jpg
20220410_173419.jpg
20220410_173417.jpg

Hizi ndege ndo zaitwa Su-34
20220410_173802.jpg
 
 
Urusi wamekimbia pekupeku na kutelekeza TOR AA system, Kifaru T-72 mkoani Chernihiv
20220410_174835.jpg
20220410_174833.jpg
20220410_174830.jpg
20220410_174827.jpg
 
Back
Top Bottom