Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Tochka-U ya Belarus, iliangushwa Mkoani Chernihiv
20220409_220516.jpg
20220409_220513.jpg
 
Majeshi ya Ukraine yameteka Msta-B 152mm howitzer na kifaru aina ya BTR-80 vyote vya Urusi. Kamanda wa Ukraine kasema wamekamata Vifaru vingi aina ya BTR ila picha ni moja nimepata. Nitaongezea nikipata picha zake. Vifaru vyote vinafanya kazi, havijaharibiwa
20220409_221910.png


20220409_221906.png


20220409_221904.png
 
Ukraine wamesambalatisha Vifaru vya Urusi aina ya T-72A, 2S19 Msta-S howitzer na magari mawili ya Ugavi aina ya Ural-4320. Mkoani Chernihiv
20220409_222728.jpg
20220409_222725.jpg
20220409_222723.jpg
20220409_222341.jpg
20220409_222720.jpg
20220409_222336.png
 
Natafuta namna nzuri ya kuripoti. Matukioni mengi muda mchache.
BTR na 152 mm 2A65 Msta-B howitzer vya Urusi vimekamatwa
20220409_223119.jpg
20220409_223116.jpg
20220409_223114.jpg
20220409_223112.jpg
 
Kifaru cha Urusi aina ya MT-LB. Ni kizima

20220409_223708.jpg
 
Zakarpattia wametoa msaada wa nyumba za muda kwa wananchi Mkoani Irpin. Nyumba zao zilibomolewe na Urusi
20220409_224155.jpg
 
T-72B cha Urusi
 
Warusi wamekwama kwenye lift. Wana hasira balaa.. Wakae hata wiki. Ndo umeme ushakatwa na nyaya zimenyofolewa
 
Mkuu Hawa Azov ni wapigani wa aina gani na wanatokea wap

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapiganaji wa Miguu wa kujitolea. Wazalendo walinda Nchi. Ni raia wa Ukraine. Wapo mji wa Mariupol. Hiki kikundi kilitambuliwa rasmi mwaka 2014. Kutokana na uhodari wao vitani, Uingereza Marekani canada, waliwapa mafunzo ya kijeshi. Wapo Vizuri. Wanatambulika kama The National Guard of Ukraine. Wanaongea Kirusi pia. Ni story ndefu. Kipindi cha Nyuma walikuwa wanatuhumiwa kutesa na kuua raia kama tanzania ilivyo watu wasiojulikana. Serikali ikawaingiza kwenye jeshi la Polisi. Ila Urusi walipovamia, wamepewa Silaha na kusimama kama Azov. Hiki kikundi pia kina bifu na Jeshi la Chechnya. Ndo maana Wachechen wakamsapoti Urusi ili waje kuwaangamiza coz walikuwa wanafanya nchi yao isitulie. So Wachechen wapo Mariupol wanapambana na Azov. Wachechen wanasaidiwa na Urusi huku Azov wakisaisiwa na Ukraine. Vita ndani ya Vita. Tatizo la Azov hawana huruma. Askari wa Urusi wakijisalimisha wanaua. Wanadai hawana Magereza ya kuwaweka na hakuna wa kuwahudumia chakula. So mtajisalimisha, hadi ifike asubuhi wote mshakufa. Putin anawachukia sana Azov
 
Kazi ya Azov. Wakikamata Mrusi hawana huruma. Ukijisalimisha kwao ni sawa na kusema nakija mniue bila kuhangauka. Mateka wa Vita huwa hauliwi. Ila Azov hiyo kanuni haipo.

 
Azov wakikukamata utanyoka🤣🤣 Huyu anasubiri kufa
 
Bora utekwe na Jeshi la Ukraine kuliko kitekwa na Azov. Azov hawana mambo ya Human rights. Usiangalie Video hii ina damu ya Wanajeshi wa Urusi. Nia ni kumuonesha alotaka kujua Azov ni watu gani
 
Kibaka akikamatwa na wananchi anaomba apelekwe Polisi. Warusi wakikamatwa na Azov wanaombwa wapelekwe kwenye jeshi la Ukraine.
 
Back
Top Bottom