Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hizi ndizo habari za upande wa pili tungependa kuzisikia.
Ndo maana nimeweka ili ufurahi. Sio kwamba sijui ila siwezi sambaza au kufurahia habari za Wavamizi. Soma maelezo yangu post #1. Nimesema nina upande, na nitaandika habari za Askari wa Ukraine walio Frontline tu. Nyingine sihangaiki nazo. Hii nimeweka sababu uliomba. Niulize kinachoendea mafanikio ya jeshi la Ukraine. Ukitaka kujua habari za Urusi, waulize wafuatiliaji na mashabiki wao. So kama mimi kupost habari za Ukraine haikufurahishi na inakukera, usifungue uzi, fuatilia threads za Urusi.
 
Mabaki ya ndege ya kwanza kubwa duniani ya Antonov An-225 Mriya ambayo ilitengenezwa na Ukraine kama yanavyoonekana kwenye uwanja wa Hostomel Airfield leo April 8, 2022. Ukraine wameahidi kutengeneza nyingine. Hii ndege ililipuliwa na Urusi ikiwa imepaki. Warusi tuahawafurumusha kwenye huu uwanja, hawapo.
20220408_230839.jpg
20220408_230843.jpg

20220408_234322.jpg
20220408_234329.jpg
 
Mwanajeshi wa Azov fighter akilipua kifaru cha Urusi aina ya BMP-2 infantry fighting vehicle kwa kutumia RPO-A Shmel rocket-assisted flamethrower maeneo ya Mariupol. Watu wote walokuwa kwenye kifaru wamekufa
 
Kikundi cha Asov kinachosaidia Ukraine, tarehe 08 April 2022 kimeua wanajeshi wengi wa Urusi Mkoani Mariupol
 
Gari la jeshi aina ya Tigr-M imetekwa na jeshi la Ukraine ikiwa imejaa Ailaha na risasi. Imekamatwa Mkoani Kyiv
 
Kifaru cha Urusi aina ya 1V13-1 battery fire control vehicle. Hongera Ukraine
 
Kifaru cha Urusi kikiteketea. Huo mlipuko ni risasi ilikuwa unebeba.
 
Wakuu, leo tumeweza kurudisha Wilaya jirani na Chernihiv. Angalia maangamizi waliyofanya Ukraine
 
Hii ndo Pantsir-S1 surface-to-air missile system ya Urusi. Mabilioni yameteketea hapa. Hongera sana Ukraine
 
Angalia fujo za drone ya Ukraine dhidi ya vifaru vya Urusi.

 
Kifaru cha Urusi aina ya A 152mm 2S19 Msta-S SPG kikiwa Mikononi mwa Ukraine
 
Kifaru cha Urusi aina ya BMP-2 na gari aina ya 9P140 MRL. Hongera Ukraine. Picha sio ya leo
Tulichelewa kuipata. Ilikuwa Jumatano
 
Rais wa Ukraine Zelenskyy amekutana na Ursula von der Leyen rais wa Umoja wa Ulaya Kyiv. Pia wametembelea Mkoa wa Bucha
 
Kifaru chetu aina ya BTR-3E armored personnel carrier, siku za Nyuma Urusi walikiteka Mkoani Kyiv. Hatimaye kimerudi mikoni mwa Ukraine
 
Hawa Warusi Vifaru vyao wanavivalisha majani. Ila tunaviona😂😂 wanaogopa kupita barabarani kwamba wataonekana, wanachanja pori kwa pori. Tunawafuata huko huko
 
Hawa ni Sniper wa Ukraine (WALI hayumo) hawa ni TDF members (Territorial Defence)
Wanaonekana wakiwa na silaha aina ya AKM rifle, an AKS-74(U) rifle na nyingine inaonekana kama AK-74 RMO Wanawafuata Warusi walipo
 
Hongera kwa General Marchenko kwa kufanikiwa kuilinda Miji ya Mykolayiv na Odesa. Kahamishiwa sehemu nyingine akafundishe mbinu. Urusi walishindwa penya sehemu anayosimamia. Abarikiwe
 
Back
Top Bottom