figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #821
Hii ndo Skif au Stugna-P ya kulipua Vifaru vya Urusi. Unaweza kuiita missile (ATGM) system. Hapa ikiwa kazini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ANCHOR wa CNN.....Hii ndo Skif au Stugna-P ya kulipua Vifaru vya Urusi. Unaweza kuiita missile (ATGM) system. Hapa ikiwa kazini
View attachment 2182148
Asante Sana kwa ufafanuzi mkuuNi wapiganaji wa Miguu wa kujitolea. Wazalendo walinda Nchi. Ni raia wa Ukraine. Wapo mji wa Mariupol. Hiki kikundi kilitambuliwa rasmi mwaka 2014. Kutokana na uhodari wao vitani, Uingereza Marekani canada, waliwapa mafunzo ya kijeshi. Wapo Vizuri. Wanatambulika kama The National Guard of Ukraine. Wanaongea Kirusi pia. Ni story ndefu. Kipindi cha Nyuma walikuwa wanatuhumiwa kutesa na kuua raia kama tanzania ilivyo watu wasiojulikana. Serikali ikawaingiza kwenye jeshi la Polisi. Ila Urusi walipovamia, wamepewa Silaha na kusimama kama Azov. Hiki kikundi pia kina bifu na Jeshi la Chechnya. Ndo maana Wachechen wakamsapoti Urusi ili waje kuwaangamiza coz walikuwa wanafanya nchi yao isitulie. So Wachechen wapo Mariupol wanapambana na Azov. Wachechen wanasaidiwa na Urusi huku Azov wakisaisiwa na Ukraine. Vita ndani ya Vita. Tatizo la Azov hawana huruma. Askari wa Urusi wakijisalimisha wanaua. Wanadai hawana Magereza ya kuwaweka na hakuna wa kuwahudumia chakula. So mtajisalimisha, hadi ifike asubuhi wote mshakufa. Putin anawachukia sana Azov
Tumia browser. Kwani unatumia browser gani?Broo mbona video kwangu hazifunguki
Jinyonge kwa kamasiSawa ANCHOR wa CNN.....