figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #9,561
Watajua wenyewe. Ngoja tusubiri labda watafunguka na kusema kilichowasibu. Mambo hayo Wamejitakia wenyewe.Jamani, Moscow ya Urusi kumetokea nini? Mbona sielewi? 🤣🤣🤣
Warusi wanapoteana
View attachment 2440626
Wamestahili- wacha wafe na tai yao shingoni.Na hapa ni Barnaul huko Urusi, sijui nini kometoke🤣🤣. Natumaini Urusi watatuambia
View attachment 2440629
Warussi walifurahia kutuma kundi la drones za kuazima kutoka Iran kuipiga Ukraine. Sasa watuambie kuna nini huko kwao?Naona Urusi wanatafutana. Walioko ndani wanatoka nje na waliopo nje wanaingia ndani
View attachment 2440764
Kha! Moscow ya superpower inageuka tena kuwa ya machungu kama Kyiv?Hapa sio Kyiv, bali hapa ni Moscow Urusi
View attachment 2440779
Naam.Wanasonga mbele uelekeo wa kumwadabisha fashisti. Slava Ukraine.Frontline ya Ukraine wakisonga mbele
View attachment 2440789
Vita imeshakuwa ngumu kwa Urusi; ikiendelea hivi kuna uwezekano Putin akaachia madarakaNaona Urusi wanatafutana. Walioko ndani wanatoka nje na waliopo nje wanaingia ndani
View attachment 2440764
Vita imeshakuwa ngumu, anajuta kuianzishaHapa sio Kyiv, bali hapa ni Moscow Urusi
View attachment 2440779
Wanaume walimsubiri kwenye uchochoro Siku nyingi sana ajae kwenye 18 zao. Alishajaa.Vita imeshakuwa ngumu kwa Urusi; ikiendelea hivi kuna uwezekano Putin akaachia madaraka