kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi wamezoea kuharibu miundombinu ya Ukraine. Kumbuka tangu Vita ianze, Ukraine imekuwa haishambulii Urusi, ilikuwa ikijilinda na Kirudisha ardhi inayokaliwa kimabavu.
Sasa tumetest drone yetu ya long range ikatua Urusi na kuharibu kambi ya Jeshi, Naona Urusi wanalialia.
Na bado. Walikuwa wanafurahia kuharibu miundombinu ya Ukraine, nao wameota joto la jiwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2438817