Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Paratroopers Andrey Kovalevsky na Sergei Duganov wa VDV's 331st Airborne Regiment walishakukufa
Sergeant Igor Chuposhev wa VDV's 11th Air Assault Brigade alikukufa March 12.
Egemberdi Dorboev, wa recon battalion, alikifa Ukraine na mazishi yake yakafanyika Kyrgyzstan.
Senior Lieutenant Sergei Argunov of the 2nd Guards Tamanskaya Motorized Rifle Division alifia ndani ya Kifaru cha Urusi aina ya BRM-1K
VDV Sergeant Alexei Shabanov alikukufa
Major Alexey Sukhanov wa Caspian Flotilla's 177th Naval Infantry Regiment. Alifia Mariupol.
Senior Sergeant Stanislav Solomatin, Senior Sergeant Ruben Mikhailyants, na Sergei Kartsev kutoka kikosi cha VDV's 106th Airborne Division walikufa ndani ya Ukraine
Yefreytor Danila Zudkov wa kikosi cha VDV's 331st Airborne Regiment's reconnaissance company. Alifia Hostomel tarehe 12 Machi
Hawa Walikuwa kule mpakani mwa Belarus na Ukraine kikosi cha Rifle Brigade. Leonid Belyakov, Viktor Shokhin, Roman Grudov na Sergey Egzhov walifia Mkoani Kharkiv
Pavel Samokhin wa miaka 23 alikuwa kikosi cha GRU/GU's 2nd Spetsnaz Brigade, kalifia Izyum 12 Machi 2022
Junior Sergeant Ravshan Zhakbaev wa Kikosi cha VDV's 331st Airborne Regiment alikufa. Hiki kikosi tuliua kuanzia boss wao na vifaa vyao tutateketeza. Nlipost hapo nyuma
Senior Sergeant Alexander Krinitsyn, wa Kikosi cha 74th Motorized Rifle Brigade's reconnaissance company aliua siku ya kwanza kabisa alipo kanyaga Ukraine. February 24. Alipigana vita Syria in 2020.
Hawa ni ndugu Baba Mmoja na Mama mmoja Vasily na Alexander Murenky wao walikuwa kama engineering troops. Walikufa siku moja
Captain Andrey Vyshegorodtsev wa Kikosi cha VDV's 331st Airborne Regiment alikufa Ukraine
Kwa Ufupi Hawa Warusi Waliokuja Ukraine tumeua wengi. Tena wa vyeo vya juu. Tulikuwa tunawakatia mawasiliano then tunawapa dawa. Ndo maana Majeshi yote ya Urusi yamekimbilia Mashariki mpakani na Mchi yao. Wakituona wanakimbilia nchini mwao. Nina picha za Wakuu wa Vikosi na Makamanda zaidi ya 300. Siwezi kupost zote hapa. Hizi nimeweka kwa ufupi. Karibuni Ukraine.
Kazi ineanza Izyum. Kifaru cha Urusi aina ya T-80BV, mikononi mwa Ukraine
Juzi Warusi walitengeneza Daraja la Kuelea Izyum. Hata hivyo tuliwafurumusha wamatelekeza Vifaru vyao. Wengine walio a wanaandamwa ikabidi waingie kwenye maji na Vifaru vyao wakashindwa kuvuka. Hapa majini wameacha Kifaru(sijapata jina) , 1x BMP na 1x section of a pontoon bridge