Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa ni Wilayani Nizhyn Mkoani Chernihiv. Warusi wamekimbia Vifaru vyao. Ni baada ya kupelekewa Moto
 
Hivi ndivyo FIM-92 Stinger inatumika.
 
Huyu Mbwa anaitwa cartridge, tangu vita ianze kashagundua Mabomu zaidi ya 150
20220413_180249.jpg
20220413_180327.jpg
20220413_180336.jpg
20220413_180321.jpg
20220413_180325.jpg

20220413_180348.jpg
 
Hawa Jamaa Walizungukwa. Risasi zikawaishia, Chakula kikawaishia wakatiwa Mawasiliano na Maji mjini Mariupol. Katika kujinasua, ikabidi wachache wajisalimishe wengine waweze kutoroka. Walitoka kwa Njia nne. Vikosi vitatu vilifanikiwa kutoroka, kimoja kilikamatwa kwenye Mtego. Hakuna aliyeuawa. Hawafiki 1000. Ni kati ya 50 na 70.

Wataachiwa. Hii ndo faida ya Mateka kwani mnabadilishana.
Asante kwa taalifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada kutoka Finland
 
Hawa Jamaa Walizungukwa. Risasi zikawaishia, Chakula kikawaishia wakatiwa Mawasiliano na Maji mjini Mariupol. Katika kujinasua, ikabidi wachache wajisalimishe wengine waweze kutoroka. Walitoka kwa Njia nne. Vikosi vitatu vilifanikiwa kutoroka, kimoja kilikamatwa kwenye Mtego. Hakuna aliyeuawa. Hawafiki 1000. Ni kati ya 50 na 70.

Wataachiwa. Hii ndo faida ya Mateka kwani mnabadilishana.
Kwa maneno haya nakuamini kwanzia leo
 
Hii ni Silaha aina ya FGM-148 Javelin ikiharibu kifaru cha Urusi aina BM-21 Grad multiple rocket launcher. Hii Silaha imetengenezwa USA
 
Kuna kikosi cha Ukraine kinaitwa 28th Mechanized Brigade, ni balaa sana. Wanatumia akili nyingi. Kitakuwa na Makomando wengi wa Kukodi. Natamani kiende Mariupol kisaidiana na Azov.. Ila Azov ni Wanyama.. Dah! Wanazika Mrusi huku anapiga kelele..!
 
Haya magari ndo wanaitwa ShKH vz. 77 DANA 152mm self-propelled howitzers. Ukraine walipewa msaada na Czech Republic. Magari yashapelekwa Msitari wa mbele
 
Warusi wamekimbia na kuacha kifaru aina ya A BMP-3 IFV
 
Mabaki ya Kifaru cha Urusi aina ya Buk SAM system. Kyiv
 
Askari wa Urusi aliyekataa kuja kupigana Ukraine, kafukuzwa kazi kwa kuitwa Msaliti kwamba si mzalendo. Ni muda mchache alikuwa ametoka Vitani Syria hata hajapumzika. Akaomba kuachana na Jeshi kuliko Kumpeleka Ukraine
20220413_234707.jpg
 
Hapa ni Mkoani Luhansk Kikosi cha Ukraine "Royal Brigade" wakitumia MLRS BM-21 "Grad", wanashambulia Urusi. Hapa ni Frontline kabisa
 
Huyu ni Denis Prokopenko (commander wa Azov Regiment) na Serhiy Volyna (commander of 36th Marines Brigade) Wakieleza jinsi walivyowatoroka Warusi waliowazingira Mariupol. Hongera kwao
 
Back
Top Bottom