Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Niliwaambia Vifaru vya Urusi vilivyo vuka pale daraja vitafyekwa. Angalia hapa Warusi wanavyo tafutana na kutapatapa. Wamepoteana🤣🤣🤣
 
Vifaru vya Urusi vitaisha
 
Jeshi la Ukraine maeneo ya Kyiv, wamefanikiwa kukuta maboksi 100 ya 125 mm Shells ya Urusi yakiwa yamefichwa
20220414_054449.png
 
Warusi baada ya kukurupushwa, wakaacha zana zao na kujitosa majini. Wengi wamezama na wengine kuliwa na mamba
 
Jeshi la Odessa limejipanga. Ardhini, anga na Majini
20220414_062340.jpg
20220414_062337.jpg
20220414_061123.jpg
 
Ufaransa imetoa tani 100 za mbegu za Viazi ili Ukraine ijilinde na njaa
20220414_091936.jpg
20220414_091923.jpg
20220414_091909.jpg
 
Japan ipo inapakia mzigo mkubwa wa Vifaa vya kijeshi kwenda Ukraine.
20220414_095125.jpg
 
Urusi wanavikimbia Vifaru
 
2S19 Msta-S howitzer cha Urusi mkoani Chernihiv
20220414_100858.jpg
 
Kutoka kushoto: rais wa Lithuania, Rais wa Latvia, Rais Poland na Rais wa Estonia Wakiwa Borodianka, Ukraine. Nyuso zao zinaongea🇱🇹🇱🇻🇵🇱🇪🇪🇺🇦
20220414_101606.jpg
 
Back
Top Bottom