Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ni kweli. Kambi ya Wagner. Kuna maiti zimeokotwa zikiwa na ubwabwa mdomoni 😂😂😂😂. Jamaa walikuwa wanapata msosi, HIMARS ikawagongea hodi.
 
Wagner wanaing'ang'ania Bakhmut utadhani kuna kitu walisahau. Wako tayari kufia Bakhmut. Kuna maeneo wameyachukua tena kama Ozarianivka, Zelenopillya, Kurdyumvika, na Ivahrad.
Huo mji wagner wameung'ang'ania sana. Mapambano yamedumu muda mrefu sana hapo hawatoki
 
Huenda labda mji huu una madini, si bure. Maana wanauawa kweli lakini hawakomi ndo wanazidisha mashambulizi..
Hey! Inaonekana hawajampatia kisawasawa saizi yake. We subiri tu, watakoma.
 
Ni kweli. Kambi ya Wagner. Kuna maiti zimeokotwa zikiwa na ubwabwa mdomoni 😂😂😂😂. Jamaa walikuwa wanapata msosi, HIMARS ikawagongea hodi.
Mhhh! Hakuna mahali hawa wazee wa HIMARS walitua halafu Mrussi akabaki salama - Hakuna. Hawa wazee wa HIMARS mara zote huondokaga na vichwa vingi.
 
Mrussi kwa uduwanzi wake hatahamisha hizo base atasubiri kupata ushahidi kwamba Ukraine ameshapata long range missiles.
 
Lazima itaanza na maghala ya silaha yaliyopo ndani ya Urusi pamoja na meli zake za kivita alizozisogeza Novorossiysk kutoka sevastopol.
Mrussi akili kisoda hata umpe ushauri wa bure haelewi. Ngoja wazee wapate mnuso ndo akili itamkaa sawasawa
 
Hivi Urusi ilijua ikivamia Ukraine watakaokufa ni Ukraine tu? Vita wameanzisha Urusi, wanajeshi wao wakipasuliwa vichwa wanalia. Urusi ilikuwa na amani imetulia,sasa hivi kila siku ni kuzika.
Your browser is not able to display this video.
 
Marekani itakuwa imempa Ukraine long range missiles
Na mimi naamini hivyo pia, unajua Marekani toka vita imeanzia akisema kitu hatafanya ujue ameshafanya tayari, mfano walisema wanafikiria kuipa Ukraine silaha za masafi marefu, mi nikajua mzigo tayari ndani ya Ukraine.
 
Hivi Urusi ilijua ikivamia Ukraine watakaokufa ni Ukraine tu? Vita wameanzisha Urusi, wanajeshi wao wakipasuliwa vichwa wanalia. Urusi ilikuwa na amani imetulia,sasa hivi kila siku ni kuzika.
View attachment 2443554
Ndio, Lakini bado njemba mmoja hajawekwa(Put) ndani(In) ili naye aweze kuchangia utengenezaji wa mbolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…