Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Propaganda za kijinga Ukraine ilishasambaratishwa msijifariji
 
Unaambiwa saiv meli za Russia Zina oparate kwenye hiyo miduara
 
Ukraine imelipua daraja lililopo katika barabara namba M-14 huko Melitopol, matokeo yake vikosi vya Urusi vilivyo msitari wa mbele vitakosa supplies, na operesheni ya Urusi huko kusini mwa Ukraine inazidi kuwa ngumu.

Wakati huohuo, Ukraine inakusanya vikosi na vifaa kuanza counter offensive ya nne katika uelekeo wa Zaporizhia.

Hii ngoma inazidi kuwa ngumu kwa urusi
 
Ukraine wakiweza kutoboa wakafika Melitopol au Mariupol tunaweza kusema vita inaelekea ukingoni. Maana warusi wataikimbia Kherson na Zaporizhzhia. Hata Crimea patakuwa hapakaliki tena.
 
Crimea ikichukuliwa meli zake zote ataondoa kwenye hiyo miduara. Ndiyo maana hata kwenye negotiation anayotaka moja ya hoja yake ni kutaka security Guarantee kutoka USA na NATO
"... moja ya hoja yake ni kutaka security Guarantee kutoka USA na NATO"
Anataka ahakikishiwe usalama wake kwamba ....... au ili wasimfanyeje? Anaogopa / anachohofia ni kitu gani? Huyu mzee mbona amezeeka vibaya hivyo?. Inafaa kichapo kikali kiendelee ajifunze namna ya kuongea au kuweka haja zake mbele ya waungwana. 💪 💪
 
Maana yake anataka NATO & USA wasaini makubaliano ya kutoishambulia Russia na kusiwe na further expansion ya NATO territories. Ndiyo maana ya Security Guarantee anayotaka.

Anataka negotiations na USA, mzee mzima hataki anasema uka negotiate na Ukraine.

Alivyo mjinga anapangia wanaume cha kufanya.
 
Crimea ikichukuliwa meli zake zote ataondoa kwenye hiyo miduara. Ndiyo maana hata kwenye negotiation anayotaka moja ya hoja yake ni kutaka security Guarantee kutoka USA na NATO
Yeye arudi alipokuwa 1991

Alipe hasara alizosababisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…