Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Air Defense [emoji91][emoji91]View attachment 2446860
Wazungu ni wazungu tu. Whatever problem they face it's just a matter of time they will come up with a solution; those guys never give up no matter how difficulty the situation might be!

Huku kwetu hadi leo tunasingizia vita vya Uganda kama sababu ya matatizo yetu; kwamba nchi ni masikini and one of the reasons ni Idd Amin Dada.
 
Eti isingekuwa vita vya Uganda uchumi wetu ungekuwa sawa na china😂😂😂😂

Yule jamaa mwenye kichwa kilichobondeka naye akaja na kamba nyingi eti nchi hii imechezewa sana. Anataka tuwe Dona (unga) kantrii. 😂😂😂. Ghafla Dona kantrii ina viwanda zaidi ya 10,000 eti tuko uchumi wa viwanda. 😂😂😂😂. Ni zaidi ya wacheza sarakasi.
 
Na wajanja wakapata uchochoro wa kupiga hela ndefu.🙄🙄
 
As Salamu 'Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuhu. Mungu ni mwema anazidi kutupigania. Urusi anatupiga hii vita lakini Ushindi ni wetu.

Sijapost kwa muda sababu ya changamoto za Maisha. Tunaishi.

Tunapost mafanikio ya Ukraine si vingine. Samahani kwa ninao wakwaza. Siwezi post mambo ya Urusi sababu sina access nao na siwapendi. Mimi ni Pro NATO.. hata damu ikivuja inajiandika NATO.

Namshukuru Mungu kwa uzima na kuendelea kutulinda kila mmoja. Nawapenda Waswahili wenzangu wa Nangurukuru na Kanyamahela❤️
 
Habari za leo. Tunamshukuru Mungu kila kunapokucha. Salaam Mabibi na Mabwana. Migandamizo inaendelea. Hii ni Frontline ya Ukraine. Upendo utawale
20221215_185224.jpg
20221215_185214.jpg
20221215_185205.jpg
20221215_185146.jpg
20221215_185139.jpg
20221215_185134.jpg
20221215_185130.jpg
20221215_185125.jpg
20221215_185119.jpg
20221215_185113.jpg
20221215_185055.jpg
20221215_185049.jpg
20221215_185040.jpg
20221215_185035.jpg
20221215_185030.jpg
 
As Salamu 'Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuhu. Mungu ni mwema anazidi kitupigania. Urusi anatupiga hii vita lakini Ishindi ni wetu? Sijapost kwa muda sababu ya changamoto za Maisha. Tunaishi.

Tunapost mafanikio ya Ukraine si vingine. Samahani kwa ninao wakwaza. Siwezi post mambo ya Iruso sababu sina access nao na siwapendi. Mimi ni Pro NATO.. hata damu ikivuja inajiandika NATO.

Namshukuru Mungu kwa uzima na kuendelea kutulinda kila mmoja. Nawapenda Waswahili wenzangu wa Nangurukuru na Kanyamahela❤️
Hata sisi wa huku Umasaini ndani-ndani huko tunakupenda na tunakutakia afya njema na Mungu akulinde ikawe kwako ni Heri na Amani.
 
Vikosi vya Ukraine vipo timamu na vinazidi kupokea misaada toka Wananchi wa kaqaida. Malengo Ureusi watoke ardhi ya Ukraine kama walivyoroka Kherson
10-1671120839272.jpg

8-1671120839272.jpg
7-1671120839272.jpg

5-1671120839272.jpg
4-1671120839272.jpg
3-1671120839272.jpg
2-1671120839272.jpg
1-1671120839272.jpg
 
Frontline sio mambo rahisi. Mnafika kipindi hospital za rufaa za Frontline zinaishiwa damu. Mtu anakufa unamiona kwa kukosa damu. Ila hakuna kukata tamaa. Napost hii ili mpate picha mambo yalivyo. Ndo maana Azpv wanawakata Masikio Warusi. Ukraine ilikuwa Nchi ya Amani hadi Urusi walipovamia Kanchi kadogo kama Ukraine.
3-1671129670287.jpg
2-1671129670287.jpg
1-1671129670287.jpg
4-1671129626406.jpg
3-1671129626406.jpg
2-1671129626406.jpg
1-1671129626406.jpg
 
Nilichojifunza kuhusu sakata la makombora yaliyotua Poland;

1. Russia kumbe anaiogopa sana NATO, alivyokanusha kwa haraka na kwa utetezi mkubwa ni dhahiri anaogopa vita kati yake na NATO.

2. Russia alijua kagusa sharubu za Simba, hasa ukizingatia kuwa hili limetokea wakubwa wa Dunia wakiwa wamekusanyika Indonesia. Alijua watasema apigwe au asulubiwe.

3. USA na NATO ni watu wastaarabu sana na wanaofanya kazi zao kwa misingi ya haki. Walikuwa na uwezo wa kumsingizia Russia kuwa kapiga kwenye NATO territory na kuchukuliwa kama sababu ya kumpiga Russia. Lakini Pentagon na Biden wamekuwa wa kwanza kuweka angalizo kuwa "Unlikely Russia ......" japo wanajua Russia hakurusha hilo Kombora Poland.

4. Pro Russia wamekuwa wa kwanza kueneza habari kuwa USA imesema kuwa Russia haijahusika huku wakijua uchunguzi haujakamilika. Lile Neno lililotumiwa na Mzee Biden na Pentagon kuwa "Unlikely Russia ........., we are waiting for investigation". Hawajataka hata kusikia maneno mengine "....... waiting for investigation", wao wame conclude kuwa USA na NATO wamesema Russia haijahusika.

Kwa kifupi, kumbe anayejiita super powers anaiogopa NATO. Alijua akikaa kimya hata kwa siku moja bila kukanusha wanaume wanaweza kumfanyizia.
Kwaio kukanusha ni uoga.Nilichojifunza kweny maelezo yako ni unaendeshwa na hisia. Kwaio mrusi alivokanusha kuua raia Ukraine alikua anamuogopa nan [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom