Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20221216_054217.jpg
 
Unaambiwa hizi Missiles 5000 zilizopigwa Ukraine, hata zingepigwa nchi nyingine bado zingeharibu miundombinu. Ila Ukraine bado imesimama. Urusi iliidharau Ukraine kwa Udongo wake bila kujua ukubwa wa pua sio wingi wa Makamasi
 
Kamanda mkuu wa vikosi vya Ukraine Valeriy Zaluzhnyi amesema, Ukraine anataka apewe vifaru 300, Magari ya kubebea Wanajeshi na Kibeba risasi Frontline 600-700 na owitzers 500. Then wamuachie kazi ya kuwachakaza Urusi. Anadai Urusi anapigika kirahisi sana..
20221216_061125.jpg
 
Back
Top Bottom