Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa ni Luhansk, Urusi wameweka pyramids za zeke kuzuia Wanajeshi wa Ukraine wasivuke. Sasa watasongaje mbele? Hapa ndo Helkopta zitabeba wanajeshi wa Ukraine na kuwavusha. Urusi watashangaa
View attachment 2474843
Duh! Mrussi kwa woga naye kazidi. Amejisheheni kwa mapiramidi, seng'enge na mazagazaga mengine utadhani ni nungunugnu na miiba yake. Sijui na huko angani ataweka seng'enge na piramidi au.....πŸ˜€πŸ˜€
 
Sehemu zote hizo ni uwanja wa mapambano. Hakuna mtu alojitangazia ushindi. Ninachofurahia ni Urusi wanakufa kama sisimizi.

Ukraine itakombia maeneo yote yalokaliwa na Urusi kimabavu. Quote my words.

Ni swala la muda tu.
Swala la ukombozi wa maeneo yote ya Ukraine halina mjadala mΓ ana hata Putin anajua kuwa atatolewa kwa aibu kubwa.

Ile package ya military iliyopitishwa na USA December 2022 na January 2023 mzigo ukifika wote, Russia lazima aondoke vila shuruti.
 
Hapa ni Luhansk, Urusi wameweka pyramids za zeke kuzuia Wanajeshi wa Ukraine wasivuke. Sasa watasongaje mbele? Hapa ndo Helkopta zitabeba wanajeshi wa Ukraine na kuwavusha. Urusi watashangaa
View attachment 2474843
Hapo huitaji hata kuwavusha kwa helkopita. Hapo wakishaswagwa mbali na hizo pyramids, zinaletwa Bulldozer zinayasogeza pembeni vifaru vinapita.

Pili unaweza ukawazunguka kupitia maeneo mengine. Ukiwaweka kati lazima watatimuka wataacha pyramids zao.

Kazi kubwa hapo ni kutegua mabomu yaliyeweka ng'ambo ya hiyo Fensi.
 
Duh! Mrussi kwa woga naye kazidi. Amejisheheni kwa mapiramidi, seng'enge na mazagazaga mengine utadhani ni nungunugnu na miiba yake. Sijui na huko angani ataweka seng'enge na piramidi au.....πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijawahi kuona super power muoga kama Russia. Mtu anayejiamini haitaji kuweka midude yote hiyo. Hapo Wagner Group wamepiga pesa ya maana kutoka kwa Putin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…