OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Duh! Mrussi kwa woga naye kazidi. Amejisheheni kwa mapiramidi, seng'enge na mazagazaga mengine utadhani ni nungunugnu na miiba yake. Sijui na huko angani ataweka seng'enge na piramidi au.....😀😀Hapa ni Luhansk, Urusi wameweka pyramids za zeke kuzuia Wanajeshi wa Ukraine wasivuke. Sasa watasongaje mbele? Hapa ndo Helkopta zitabeba wanajeshi wa Ukraine na kuwavusha. Urusi watashangaa
View attachment 2474843