Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Hawa walipigwa na HIMARS/270 MLRSMfano wa Kibano ambacho askari wa Urusi wameanza kukipata huko Soledar Mjini. Sasa hawana pa kujificha.
View attachment 2480180
Haya sasa; Wanaoshupalia kwamba Soledar iko mikononi mwa Mrussi wakatae -grid reference na uwepo wa hiyo bendera ya Ukraine.
Wakuu, imedaiwa ile picha iliyosambaa juzi Wanajeshi wa Ukraine wakipigwa risasi kwenye handaki, imegundulika hawakuwa Wanajeshi wa Ukraine bali ni Warusi Walivaa sare za Ukraine ili kuwahaadaa Frontline wa Ukraine. Wale wote ni Warusi na mmoja alomiminiwa risasi katambuliwa kwa jina la Milevsky Vitaly. Ametafutwa bila mafanikio ndo wakajua wameuana Urusi kwa Urusi.
View attachment 2480858View attachment 2480860View attachment 2480861View attachment 2480862View attachment 2480868
Ongeza na challenger 2 tanks za UK.Hiki ndo kifaru aina ya Bradley. Marekani amesema atampa Ukraine vifaru vya aina hii vimsaidie.
View attachment 2480651
Achana naye, kwani anakulipa. Na yeye akatengeze hizo photoshop.Kwanini huwa humiamini kwamba Wanajeshi wa Ukraine wan Morali ya kizi. Hizi picha zote zo Frontline. Hakuna Photoshop hata moja Mkuu. Wala hakuna sababu ya kufamya hivyo.
Mbwa kala kichwa cha mbwa mwenzake 😂😂😂Wakuu, imedaiwa ile picha iliyosambaa juzi Wanajeshi wa Ukraine wakipigwa risasi kwenye handaki, imegundulika hawakuwa Wanajeshi wa Ukraine bali ni Warusi Walivaa sare za Ukraine ili kuwahaadaa Frontline wa Ukraine. Ametafutwa bila mafanikio ndo wakajua wameuana Urusi kwa Urusi.
View attachment 2480858View attachment 2480860View attachment 2480861View attachment 2480862View attachment 2480868
Huwa zinakimbia sana.. Speed yake ni 2,123 Km/h.Natamani Ukraine wapate zile ndege za F-16. Hizo zikija, mziki utakuwa mnene sana kwa Warusi