Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hiki ndo kifaru aina ya Bradley. Marekani amesema atampa Ukraine vifaru vya aina hii vimsaidie.

20230114_122613.jpg
 
Wakuu, imedaiwa ile picha iliyosambaa juzi Wanajeshi wa Ukraine wakipigwa risasi kwenye handaki, imegundulika hawakuwa Wanajeshi wa Ukraine bali ni Warusi Walivaa sare za Ukraine ili kuwahaadaa Frontline wa Ukraine. Ametafutwa bila mafanikio ndo wakajua wameuana Urusi kwa Urusi.
Screenshot_20230114-150952.png
20230114_150823.jpg
20230114_150820.jpg
20230114_150818.jpg
Screenshot_20230114-151526.png
 
Wakuu, imedaiwa ile picha iliyosambaa juzi Wanajeshi wa Ukraine wakipigwa risasi kwenye handaki, imegundulika hawakuwa Wanajeshi wa Ukraine bali ni Warusi Walivaa sare za Ukraine ili kuwahaadaa Frontline wa Ukraine. Wale wote ni Warusi na mmoja alomiminiwa risasi katambuliwa kwa jina la Milevsky Vitaly. Ametafutwa bila mafanikio ndo wakajua wameuana Urusi kwa Urusi.
View attachment 2480858View attachment 2480860View attachment 2480861View attachment 2480862View attachment 2480868

Duh! , Hayo ndo madhara ya kukosa coordination nzuri

Kuna kipindi Warusi wamewahi kujichanganya wakaanza kurushiana risasi wao kwa wao!.
 
Wakuu, imedaiwa ile picha iliyosambaa juzi Wanajeshi wa Ukraine wakipigwa risasi kwenye handaki, imegundulika hawakuwa Wanajeshi wa Ukraine bali ni Warusi Walivaa sare za Ukraine ili kuwahaadaa Frontline wa Ukraine. Ametafutwa bila mafanikio ndo wakajua wameuana Urusi kwa Urusi.
View attachment 2480858View attachment 2480860View attachment 2480861View attachment 2480862View attachment 2480868
Mbwa kala kichwa cha mbwa mwenzake 😂😂😂

Kimsingi wamewawahisha tu wenzao lakini kufia Soledar ilikuwa ni lazima tu wangeuwawa na majeshi ya Ukraine.
 
Back
Top Bottom