figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #10,361
Kwa hiyo Ukraine haina human resources.Vifaa bila rasilimali watu ni bure!, wakae mezani vita viishe waihenge nchi yao!!!
Anavyolia utadhani anajifungua. Kapigwa kende huyo 😂😂😂😂Mrusi analia kama ng'ombe🤣🤣🤣
View attachment 2481704
Sawa mkuu. Sasa kati ya hao wanaopambana, ni yupi ameishiwa rasilimali watu kiasi kwamba inambidi akubali wakae mezani?Vifaa bila rasilimali watu ni bure!, wakae mezani vita viishe waihenge nchi yao!!!
Hakika Inatisha - Ni hatari mnoooo.
Huyo hajatulia bado. Kaja mbio.Kwa hiyo Ukraine haina human resources.
Je, hiyo ndo hoja ya Russia kwa kutaka Negotiations na Ukraine au ni maoni yako.
Kashiba ugali wa shemeji yake ndo analeta uharo hapa. Hata hajitambuiHuyo hajatulia bado. Kaja mbio.
Aisee! Jamaa wanaendelea na stori (CJui) kana kwamba hiyo milio ya risasi sio issue kwao. Nawakubali sana wapambanaji wa Ukraine. Slava Ukraine.Hili gari la Kimarekani linaitwa MaxxPro MRAP. Lipo Frontline likipiga kazi. Moja bei yake sokoni ni $427,363.
View attachment 2482076
Ya wapi tena hiyo aisee??? Si tulishakubaliana kwamba hakuna kudharauliana, kejeli au kutoheshimu ya wenzako??. Sasa sijaelewa hiyo komenti yako kama imezingatia hilo.Jeshi la mtu mmoja. Mwamba figa niga
Vifaru vitano sio haba. Vingeachwa vingeleta madhara makubwa sana.Slava Ukraine. 💪Vifaru vitano vya Urusi aina ya BMP-1, vimeharibiwa huko Donetsk
View attachment 2482483