Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Vifaa bila rasilimali watu ni bure!, wakae mezani vita viishe waihenge nchi yao!!!
Kwa hiyo Ukraine haina human resources.

Je, hiyo ndo hoja ya Russia kwa kutaka Negotiations na Ukraine au ni maoni yako.
 
Jeshi la mtu mmoja. Mwamba figa niga
Ya wapi tena hiyo aisee??? Si tulishakubaliana kwamba hakuna kudharauliana, kejeli au kutoheshimu ya wenzako??. Sasa sijaelewa hiyo komenti yako kama imezingatia hilo.
Acha fitina na uchokozi kama Mrussi na Wagner 😳 .
 
Vifaru vitano vya Urusi aina ya BMP-1, vimeharibiwa huko Donetsk
IMG_20230115_185131_461.jpg
 
Back
Top Bottom