Slava Ukraine [emoji1255]Warusi wanakufa kama sisimizi View attachment 2481676
Slava Ukraine [emoji1255]Mrusi analia kama ng'ombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2481704
Slava Ukraine [emoji1255]Vifaru vitano vya Urusi aina ya BMP-1, vimeharibiwa huko Donetsk
View attachment 2482483
Huyu alikuwa anapiga picha tu.[emoji1255] Lydia, alizaliwa mwaka 1938. Kabeba mtutu kuilinda nchi yake ya Ukraine
View attachment 2158165
Hapa ni moja ground kwenye shule bado kwenye madarasa mengine.hapo chini wote ni marehemMkuu,tunaomba utupatie walau rough figure ya askari wa Urussi waliouawa kwenye hilo la wimbi baada ya wimbi la askari wengi wa Urussi wanaotumwa licha ya vifo vingi. Unataka kutuambia kwamba ni kweli askari wa Urussi wanakufa kama sisimizi lakini bado Mrussi anatuma wengine tena na tena kana kwamba hapo Mrussi ameamua askari wake wakateketezwe tuu hakuna shida???!! Ni uamuzi au mkakati wa namna gani huo? 😳
Yeah sio movie si unaona putin anavyo mbwela kutoka kwenye offensive hadi deffensive sio kitto.Naona Waukraine wamtandaoni mmefungua uzi wenu ili mjifariji. Mnavyotiana moyo sasa utafikiri mnauhalisia wa kinachoendelea field..
Mnaongea utafikiri watoto yatima yaani....Vita sio movies za Hollywood....Vita havibadirishwi na mapichapicha ya mtandaoni.Anyway poleni sana kwa kinachompata Ukraine..hakuna mtu anapenda vita..hii vita ni zao la watu wa West kujiona wao wanahaki na thamani kuliko watu wengine..kulazimisha values zao na usalama wao mbele...
UKRAINE acha wavune walichopanda kwa miaka mingi.....
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Makhiiva hiyo, kisago cha mwaka mpya.Hapa ni moja ground kwenye shule bado kwenye madarasa mengine.hapo chini wote ni marehemView attachment 2482975
Hiki ndio kile kilichoua takribani 600?Makhiiva hiyo, kisago cha mwaka mpya.
Ngoja mobilization ya vifaa ikamilike, kuanzia mwezi wa pili utaona move linavyoenda. Coordination contact group inakaa leo huko ujerumani. Itakuja na matokeo mazuri kuhusu mzigo.Hiki ndio kile kilichoua takribani 600?
Ila kwa sasa tunahitaji kuwapiga pigo lingine hawa warusi pale bakhmut washike adabu.
Ila picha inaonesha ni kama ilipigwa wakati wakingali hai au walikufa wamesimama na kunyosha/kupunga mikono?Hapa ni moja ground kwenye shule bado kwenye madarasa mengine.hapo chini wote ni marehemView attachment 2482975
Wapi wamekufa. Tupia picha au source tuoshe machoBaada ya Urusi kushambulia jengo la makazi ya watu mjini Dnipro, Ukraine imefanya revenge. Warusi/wavamizi wengi wamekufa
View attachment 2483132
WapiInasemekana takriban warusi 730 wamekufa
Mkuu hao ni wazee ku otea otea kama wana beti.Wapi
Dah! Inawezekana lakini kwenye vita hakunaga mchezo wa kuigiza. Laiti ingewezekana tukuvike kama askari wa Kirussi halafu tukuweke mbele yake umbali e.g. meta 100 halafu tuone kama atashindwa kukupasua.Huyu alikuwa anapiga picha tu.
Hiyo ndo nzuri mno. Kula na Kulipa. Natamani kusikia e.g. Mrusi kapiga kibanda cha Ukraine kwa kombora; Ukraine kasambaratisha ghorofa la Mrussi kwa kombora.Baada ya Urusi kushambulia jengo la makazi ya watu mjini Dnipro, Ukraine imefanya revenge. Warusi/wavamizi wengi wamekufa
View attachment 2483132