Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu,tunaomba utupatie walau rough figure ya askari wa Urussi waliouawa kwenye hilo la wimbi baada ya wimbi la askari wengi wa Urussi wanaotumwa licha ya vifo vingi. Unataka kutuambia kwamba ni kweli askari wa Urussi wanakufa kama sisimizi lakini bado Mrussi anatuma wengine tena na tena kana kwamba hapo Mrussi ameamua askari wake wakateketezwe tuu hakuna shida???!! Ni uamuzi au mkakati wa namna gani huo? 😳
Hapa ni moja ground kwenye shule bado kwenye madarasa mengine.hapo chini wote ni marehem
20230116_070924.jpg
 
Naona Waukraine wamtandaoni mmefungua uzi wenu ili mjifariji. Mnavyotiana moyo sasa utafikiri mnauhalisia wa kinachoendelea field..

Mnaongea utafikiri watoto yatima yaani....Vita sio movies za Hollywood....Vita havibadirishwi na mapichapicha ya mtandaoni.Anyway poleni sana kwa kinachompata Ukraine..hakuna mtu anapenda vita..hii vita ni zao la watu wa West kujiona wao wanahaki na thamani kuliko watu wengine..kulazimisha values zao na usalama wao mbele...

UKRAINE acha wavune walichopanda kwa miaka mingi.....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Yeah sio movie si unaona putin anavyo mbwela kutoka kwenye offensive hadi deffensive sio kitto.
 
Hiki ndio kile kilichoua takribani 600?
Ila kwa sasa tunahitaji kuwapiga pigo lingine hawa warusi pale bakhmut washike adabu.
Ngoja mobilization ya vifaa ikamilike, kuanzia mwezi wa pili utaona move linavyoenda. Coordination contact group inakaa leo huko ujerumani. Itakuja na matokeo mazuri kuhusu mzigo.
 
Huyu alikuwa anapiga picha tu.
Dah! Inawezekana lakini kwenye vita hakunaga mchezo wa kuigiza. Laiti ingewezekana tukuvike kama askari wa Kirussi halafu tukuweke mbele yake umbali e.g. meta 100 halafu tuone kama atashindwa kukupasua.
Kama alikuwa anapiga picha tu, basi hiyo ni njia mojawapo ya kuwapa Hamasa na kuamsha Ari kwa wapiganaji wajukuu zake (Ukraine) wasilaze damu bali waamke na kumnyuka Mrussi kwa hasira zote..
 
Back
Top Bottom