Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kamanda wa Ukraine aeleza kuwa Warusi walioingia Soledar wanapelekewa kichapo sana kupitia mizinga.

View attachment 2486198
Warussi wanasagwa kama mahindi ya kukoboa (makande).
Ukraine nimemkubali sana kwenye plan yake ya kumwacha(Kumruhusu) Mrussi aingie ndani mjini Soledar then anapokea kipondo kama ngoma na hana pa kujificha kwani alishasambaratisha maeneo ya maficho na kujiwekea vizuizi vya kupitisha silaha i.e.vifusi vya majengo aliyobomoa, sasa amebaki anajificha kwenye kifusi chake mwenyewe. Hahahaa. Slava Ukraine.
 
Warusi wakidakwa wanakuwa na Maneno mengi. "We did not want to fight. They forced us. We believe in peace. Crimea is Ukraine."
View attachment 2486226
Mmm! Hivi wasingedakwa wangelisema maneno hayo au wangeendelea kutema cheche kwa askari wa Ukraine??? Wasituongopee hapa ili kunusuru Uhai wao dk. za mwisho.Kwani hapo walipokuwa kabla ya kudakwa walikuwa wanafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…