Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kamanda wa Ukraine aeleza kuwa Warusi walioingia Soledar wanapelekewa kichapo sana kupitia mizinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaWarusi wakidakwa wanakuwa na Maneno mengi. "We did not want to fight. They forced us. We believe in peace. Crimea is Ukraine."
View attachment 2486226
Warussi wanasagwa kama mahindi ya kukoboa (makande).Kamanda wa Ukraine aeleza kuwa Warusi walioingia Soledar wanapelekewa kichapo sana kupitia mizinga.
View attachment 2486198
Mmm! Hivi wasingedakwa wangelisema maneno hayo au wangeendelea kutema cheche kwa askari wa Ukraine??? Wasituongopee hapa ili kunusuru Uhai wao dk. za mwisho.Kwani hapo walipokuwa kabla ya kudakwa walikuwa wanafanya nini?Warusi wakidakwa wanakuwa na Maneno mengi. "We did not want to fight. They forced us. We believe in peace. Crimea is Ukraine."
View attachment 2486226
Mmm. Mlaji wa hii kitu ni Mrussi. Asiposhiba basi asubirie yajayo yanashibisha zaidi. 😀 😀 😀 💪Marekani wana aina za Silaha hadi inakera. Safari hii wanaleta Ground-Launched Small Diameter Bomb (GLSDB) inapiga KM 150 kwa usahihi kama vile kutema chini.
View attachment 2486714
Haya Makombora yatarushwa na HIMARS pamoja na M270. Ni shida. Makombora yanatengenezwa na BoeingMmm. Mlaji wa hii kitu ni Mrussi. Asiposhiba basi asubirie yajayo yanashibisha zaidi. 😀 😀 😀 💪
Mzee wa jagajagaaa anawawezea sana hawa nguruwe wa Russia. Anawatesa sana. Sijui kwa nini hawataki kuondoka Soledar. Wataisha.Cheki kikosi cha mizinga cha Ukeaine kinavyopiga maghala ya Silaha ya Wagner na askari wake huko Soledar
View attachment 2485311
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]Warusi wakidakwa wanakuwa na Maneno mengi. "We did not want to fight. They forced us. We believe in peace. Crimea is Ukraine."
View attachment 2486226
Slava Ukraine [emoji1255]Marekani wana aina za Silaha hadi inakera. Safari hii wanaleta Ground-Launched Small Diameter Bomb (GLSDB) inapiga KM 150 kwa usahihi kama vile kutema chini.
View attachment 2486714