Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yule Mtanzania alofia Ukraine, alipelekwa Bakhmut ili akawateketeze Wananchi wa Ukraine kwenye ardhi yao. Yeye ni miongoni mwa Wanajeshi Kibao wa Urusi waliofia Bakhmut. Bahati yake mwili wake uliweza kubebwa.
View attachment 2489261
Jamaa alifungwa kwa kuhusishwa na dawa za kulevya ila akiwa huko alipata 'ofa' kutoka kampuni ya Wagner ya kupigana huko Ukraine (Bakhmut) kwa miezi kadhaa (nadhani 6) Kisha angeachiwa huru....ila ndio hivyo hakubahatika kurudi.
 
Miezi sita alimaliza akaja bongo kukarabati nyumba ya mama yake aloacha then akarudi tena. Alinogewa.
 
Miezi sita alimaliza akaja bongo kukarabati nyumba ya mama yake aloacha then akarudi tena. Alinogewa.
Mshenzi kweli huyo. Alinogewa kuua waUkraine?? Bila shaka mshiko alopata ulimtia wenda wazimu akadhani pale Bakhmut ni mahali pa kwenda kuchota pesa tu. Ma'labuku. Ameonjeshwa na liwe ni fundisho na Onyo kali kwa wenzake alowahamasisha hapa Bongo eti wakajiunge huko Wagner chap. Ajira ni nje njeee.πŸ˜³πŸ˜³πŸ”¨
 
Miezi sita alimaliza akaja bongo kukarabati nyumba ya mama yake aloacha then akarudi tena. Alinogewa.
Ukipanda mbigiri lazima utavuna mbigiri usitegemee kuvuna mahindi. Kama ni kweli, anastahili kupasuliwa fuvu. Hongera Ukraine troops
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…