figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #10,481
Hivi vifaru vinatengenezewa Sweden. Vinaitwa Combat Vehicle 90 au CV90.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napiga namba ya Jagajagaa nimwambie kuwa wamekuja ili awasalimie lakini simpati . Awape supu ya moto😂😂😂Angalia Warusi wanavyo jipeleka Machinjioni. Wala hawajui wapo kwenye Target. 🤣🤣🤣
View attachment 2489725View attachment 2489724
Siku hizi wamekuja na technic ya kujifanya wamekufa. 😂😂😂 tuone kama watajilaza Siku nzima.Urusi walivyo pelekewa Moto
View attachment 2489820
Hizo mbio utadhani kimepulizwa kipenga cha kuanza marathon 😂😂😂😂
Ukraine wameshapewa huo mzigo?....Ila wameshauriwa kutofanya counter offensive mpaka wapatiwe silaha za kutosha na mafunzo
Wanajilaza lakini macho wanaangalia juu kama kuna kitu kinashuka. Jamaa kaona isiwe tabu aikwepe kumbe ndo anajiweka kwenye target. 😂😂😂
Utadhani alifundishwa kukimbia kama digidigi 😂😂😂 anakata mbuga si mchezo. 😂😂😂Nimecheka Mrusi anavyo ikimbia drone
View attachment 2489990
Vijinga sana hivi .....kichwani vimejaza nini sijui ....Haya bhana naona mmejazana huku mkipeana matumaini
Huko miji inaendelea kubebwa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Jamaa alifungwa kwa kuhusishwa na dawa za kulevya ila akiwa huko alipata 'ofa' kutoka kampuni ya Wagner ya kupigana huko Ukraine (Bakhmut) kwa miezi kadhaa (nadhani 6) Kisha angeachiwa huru....ila ndio hivyo hakubahatika kurudi.Yule Mtanzania alofia Ukraine, alipelekwa Bakhmut ili akawateketeze Wananchi wa Ukraine kwenye ardhi yao. Yeye ni miongoni mwa Wanajeshi Kibao wa Urusi waliofia Bakhmut. Bahati yake mwili wake uliweza kubebwa.
View attachment 2489261
Miezi sita alimaliza akaja bongo kukarabati nyumba ya mama yake aloacha then akarudi tena. Alinogewa.Jamaa alifungwa kwa kuhusishwa na dawa za kulevya ila akiwa huko alipata 'ofa' kutoka kampuni ya Wagner ya kupigana huko Ukraine (Bakhmut) kwa miezi kadhaa (nadhani 6) Kisha angeachiwa huru....ila ndio hivyo hakubahatika kurudi.
Aisee! Kama ni kutimua mbio, jamaa anastahili kuingia na kushiriki world marathon. Dah! Utadhani ana magurudumu miguuni. 😃 😃 😃Nimecheka Mrusi anavyo ikimbia drone
View attachment 2489990
Mshenzi kweli huyo. Alinogewa kuua waUkraine?? Bila shaka mshiko alopata ulimtia wenda wazimu akadhani pale Bakhmut ni mahali pa kwenda kuchota pesa tu. Ma'labuku. Ameonjeshwa na liwe ni fundisho na Onyo kali kwa wenzake alowahamasisha hapa Bongo eti wakajiunge huko Wagner chap. Ajira ni nje njeee.😳😳🔨Miezi sita alimaliza akaja bongo kukarabati nyumba ya mama yake aloacha then akarudi tena. Alinogewa.
Ukipanda mbigiri lazima utavuna mbigiri usitegemee kuvuna mahindi. Kama ni kweli, anastahili kupasuliwa fuvu. Hongera Ukraine troopsMiezi sita alimaliza akaja bongo kukarabati nyumba ya mama yake aloacha then akarudi tena. Alinogewa.