Yule malaika wa mauti (Ziraeli) hafanyiwi dhihaka hata siku moja. Yule hanaga longolongo.π³Siku hizi wamekuja na technic ya kujifanya wamekufa. πππ tuone kama watajilaza Siku nzima.
Wanaishi maisha ya majuto kweli. Wanajua kabisa watarudi wakiwa mizoga au amebahatika sana akiwa kilema. Salama yao ni kujisalimisha tu.Yule malaika wa mauti (Ziraeli) hafanyiwi dhihaka hata siku moja. Yule hanaga longolongo.π³
Wanaume wameshafanya yao matako yanawasha. Jichokonoe kwa kidole basi ili uache kuwashwawashwa.Vijinga sana hivi .....kichwani vimejaza nini sijui ....
Slava Ukraine [emoji1255]Angalia Warusi wanavyo jipeleka Machinjioni. Wala hawajui wapo kwenye Target. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2489725View attachment 2489724
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi walivyo pelekewa Moto
View attachment 2489820
Slava Ukraine [emoji1255]Nimecheka Mrusi anavyo ikimbia drone
View attachment 2489990
Morocco mjanja sana. Yeye mwenyewe aliivamia Sahara Magharibi na kuikalia mpaka leo.Morocco imeipelekea Ukraine msaada wa Vifaru 20 aina ya T-72B. Morocco imekuwa Nchi ya Kwanza kutoka Africa kuisaidia Ukraine.
View attachment 2492023View attachment 2492024View attachment 2492025View attachment 2492026
Unajua pale Mali kuna wagners wanaoungwa mkono na Urusi. Huwa wanamsumbua sana Morocco ndo anataka wapigwe kwani wakipungua hawataenda Morocco. Kutoka Morocco hadi Mali ni km 1600 tu.Morocco mjanja sana. Yeye mwenyewe aliivamia Sahara Magharibi na kuikalia mpaka leo.
Hapa anatufuta alliance na nchi za west ili wamfumbie machio kimeo chake hicho
Ohoo nimeelewa sasa.Unajua pale Mali kuna wagners wanaoungwa mkono na Urusi. Huwa wanamsumbua sana Morocco ndo anataka wapigwe kwani wakipungua hawataenda Morocco. Kutoka Morocco hadi Mali ni km 1600 tu.