Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Siku hizi wamekuja na technic ya kujifanya wamekufa. 😂😂😂 tuone kama watajilaza Siku nzima.
Yule malaika wa mauti (Ziraeli) hafanyiwi dhihaka hata siku moja. Yule hanaga longolongo.😳
 
Yule malaika wa mauti (Ziraeli) hafanyiwi dhihaka hata siku moja. Yule hanaga longolongo.😳
Wanaishi maisha ya majuto kweli. Wanajua kabisa watarudi wakiwa mizoga au amebahatika sana akiwa kilema. Salama yao ni kujisalimisha tu.
 
Morocco imeipelekea Ukraine msaada wa Vifaru 20 aina ya T-72B. Morocco imekuwa Nchi ya Kwanza kutoka Africa kuisaidia Ukraine.
IMG_20230123_014000_053.jpg
IMG_20230123_014000_031.jpg
IMG_20230123_013959_366.jpg
 
Morocco mjanja sana. Yeye mwenyewe aliivamia Sahara Magharibi na kuikalia mpaka leo.
Hapa anatufuta alliance na nchi za west ili wamfumbie machio kimeo chake hicho
Unajua pale Mali kuna wagners wanaoungwa mkono na Urusi. Huwa wanamsumbua sana Morocco ndo anataka wapigwe kwani wakipungua hawataenda Morocco. Kutoka Morocco hadi Mali ni km 1600 tu.
 
Back
Top Bottom