figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #10,521
Waw! Mrussi anapigika kinoma. Slava Ukraine.Mapambano Frontline
View attachment 2492297
Umeonaaee.....anaamini hii ndio njia pekee ya wenye dunia yao kuridhia umiliki wake wa Saharawi..Morocco mjanja sana. Yeye mwenyewe aliivamia Sahara Magharibi na kuikalia mpaka leo.
Hapa anatufuta alliance na nchi za west ili wamfumbie machio kimeo chake hicho
Mwana propaganda na uongo wake mara paap! Kimenuka na ndo ukawa mwisho wake na uongo wake kwani uthibitisho wa "sio salama" kaupata papo kwa papo.Mwana propaganda wa Urusi anasema "hapa Soledar ni Salama kabisa" . Bila kujua yupo kwenye Target ya Sniper 🤣🤣🤣
View attachment 2492284
Dah! Wanaume ngangari kweli kweli. Hongera zao. Kazi iendelee.Nguvu moja. Hakuna kuacha kifaru nyuma
View attachment 2492312
Wagners, hilo dili limemgharimu sana sidhani atakaa arudie tena ujinga huo.Wagner wa Soledar jinsi walivyo pelekewa moto. Teknolojia imemsaidia sana Ukraine. Ndo maana ana jeshi dogo lakini Mrusi anakoma.
View attachment 2492407
Hahahaaa. miWagners imejihifadhi yenyewe kwenye barafu kama kambale wanaosubiri kusafirishwa.
Mbolea imeamua kijichimbia kabisa kupesha usumbufu.Wagner wa Soledar jinsi walivyo pelekewa moto. Teknolojia imemsaidia sana Ukraine. Ndo maana ana jeshi dogo lakini Mrusi anakoma.
View attachment 2492407
German kalinga na Leopard 2 zake. Wanaume wameamua kupeleka mzigo. Sijui ataendelea kukataa tena.
German huwa anaringa sana na misaada yake kwenye huu mzozo. Namkubali sana Uingereza hajishauri mara 2 akisema kitu.German kalinga na Leopard 2 zake. Wanaume wameamua kupeleka mzigo. Sijui ataendelea kukataa tena.
kwa maisha yalivyo tight,sema Urussi mbali...nyomi ingejaa!Miezi sita alimaliza akaja bongo kukarabati nyumba ya mama yake aloacha then akarudi tena. Alinogewa.
1. Boris hana chochote alichowekeza Ukraine wala hana personal interest na Ukraine.German huwa anaringa sana na misaada yake kwenye huu mzozo. Namkubali sana Uingereza hajishauri mara 2 akisema kitu.
Halafu mkuu hivi Boris Johnson ana nini pale Ukraine? Mara kwa mara namuona anaenda pale.